AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Tarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...?
Je kuna hatari? Kama ipo nini kifanyike...? Na kama ni kawaida hakuna hatari...hii inaweza ikafika mpaka lini..? Na kama ikizidi muda unaohitajika mjamzito anafanywaje...?
NB:
Zahanati Walisema mpaka kesho j3 wanampasua.. Hii ipo sawa...? Au tunaweza kusubiri zaidi...?