AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Habari!Tarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...?
Je kuna hatari? Kama ipo nini kifanyike...? Na kama ni kawaida hakuna hatari...hii inaweza ikafika mpaka lini..? Na kama ikizidi muda unaohitajika mjamzito anafanywaje...?
NB:
Zahanati Walisema mpaka kesho j3 wanampasua.. Hii ipo sawa...? Au tunaweza kusubiri zaidi...?
Siku 14, studies zinaonyesha kunaanza kuwa na placenta calcification hence plancenta insufficiency kwenye oksijeni na nutrients delivery.Kama kitabibu wataona kuna hitilafu basi wana induce labour ila kama kila kitu kipo sawa kuna window period ya variation ya at least siku 14 kutoka EDD.
Mungu atamvua salama.
Waache madaktari wafanye kazi yao, mambo mengine sio ya kuleta jfTarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...?
Je kuna hatari? Kama ipo nini kifanyike...? Na kama ni kawaida hakuna hatari...hii inaweza ikafika mpaka lini..? Na kama ikizidi muda unaohitajika mjamzito anafanywaje...?
NB:
Zahanati Walisema mpaka kesho j3 wanampasua.. Hii ipo sawa...? Au tunaweza kusubiri zaidi...?
Na humu wamo madaktari.Waache madaktari wafanye kazi yao, mambo mengine sio ya kuleta jf