Ni Diamond all white party na sio Zari

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa wenzangu mliopata kadi za bure mtaungana namimi, ileparty ilitakiwa kuitwa Diamond white party na sio Zari white party. Kwanini nasema hivi wengi waliitarajia kumuona Zari kama mhusika mkuu matokeo yake Zari alisimama mara moja kama sijakosea.

All time tunamsikiliza Diamond hata ikafika wakati wanaimba Zari Zari wakati Diamond akitoa mahubiri ndipo akajibu. Hali yake kiafya airuhusu kumsimamisha.

Kama ulijua hivi Diamond siungesubiri azae tule raha.
 
Hahahahaa hivi alivikwa ile pete? Na ile tv iliyotangazwa itazinduliwa na diamond vipi?
Tupeni habari bwana wengine hatukuhudhuria.
 
Naona leo mkuu Pdidy umerudi katika ubora wako ahahahah!Ilikuwa tu party walioiandaa platnum na zari wapige hela basi!kama ilivyokuwa TMT na MANPAC jana basi hakuna mpya!.

Kile kiatu alichokivaa Zari siku ile nilihisi hatoweza kusimama mara kwa mara na kitambi chake,na huenda diamond ndie aliyemshawishi Zari waandae ile party kwa kutumia jina la Zari ndio maana bidada alikuwa nyumanyuma.
 
Atakua amechoka maskini manake mimba na mishemishe zile sio mchezo..
 
Hahahahaa hivi alivikwa ile pete? Na ile tv iliyotangazwa itazinduliwa na diamond vipi?
Tupeni habari bwana wengine hatukuhudhuria.

Siri yandani
 
Zari hawezi kusimama kwa sababu za kiafya! Hahaaa. Alipoingia kwenye ukumbi aliingia amekaa?Maringo tu yasokuwa na maana.
 
Hahahahaaaahaaaaa Zari ni bosi kibarua chake ndo alikua ana fanya majukumu yote ya bosi
 
Hahahahaaaahaaaaa Zari ni bosi kibarua chake ndo alikua ana fanya majukumu yote ya bosi

Zari the boss ledy.....wema the.........uwiiiiiiiirrrrrrrr...
Ile paty ilifana saana kwa kweli....
 
Wema katika kosa alilolifanya ni kuondoka kwa Daimond kwa kudai anasafiria nyota yake. Yapo wapi mapenzi hapo? Kwani mama akiwa maarufu ni kosa kumbeba mzee?

Hii imeonyesha wazi kuwa wema hakuwa hata na chembe ya mapenzi kwa mwenzake.

Diamond kapiga utosini, kashusha mtoto safi. Zari kamzidi wema kwa sura, mfinyango wa umbile, hips na miguu. Kamzidi kila kitu.
 
Zari the boss ledy.....wema the.........uwiiiiiiiirrrrrrrr...
Ile paty ilifana saana kwa kweli....

Wema katokea wapi tena sumbai ...ulishawahi kunyimwa unyumba mwaka mzima? Sasa endelea kumtaja madamu ukimfananisha na watu wasio na hadhi
 
Last edited by a moderator:
Wema katokea wapi tena sumbai ...ulishawahi kunyimwa unyumba mwaka mzima? Sasa endelea kumtaja madamu ukimfananisha na watu wasio na hadhi

Ha haaaaa yan wema anisabish ninyimwe k? ???
 
Last edited by a moderator:
Kweli mapenzi hayana umri! Nami nitatafuta mwana nimlehe maana madogo wananjaa sana ya kuwa marioo!
 
inferiolity complex, wema anaingiaje kwenye thread hii? Nampongeza kikwete kwa kusaini sheria mpya ya mitandao kenge wote mtashika adabu.
 
inferiolity complex, wema anaingiaje kwenye thread hii? Nampongeza kikwete kwa kusaini sheria mpya ya mitandao kenge wote mtashika adabu.

Kwa hiyo sasa hivi tuandike kwa adabu!!kushtaki popote kituo cha police chochote
 
Pdidy

Kadi za bure walizopewa zililipiwa na ma sponsor atiii.
 
Last edited by a moderator:
ingia kwenye account ya zingifuri instagram ukajionee videos za Mr na Mrs Chibu za party ya Zari na walipoimba wifi wifi...nietoka kuziangalia

hadi sasa acc ipo public, hakuna haja ya kutuma request
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…