Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwa wenzangu mliopata kadi za bure mtaungana namimi, ileparty ilitakiwa kuitwa Diamond white party na sio Zari white party. Kwanini nasema hivi wengi waliitarajia kumuona Zari kama mhusika mkuu matokeo yake Zari alisimama mara moja kama sijakosea.
All time tunamsikiliza Diamond hata ikafika wakati wanaimba Zari Zari wakati Diamond akitoa mahubiri ndipo akajibu. Hali yake kiafya airuhusu kumsimamisha.
Kama ulijua hivi Diamond siungesubiri azae tule raha.