Ni Diamond Platnumz ukipenda mwite Warren Buffett wa Bongo

Mkuu na mimi nataka nije huko majuu, nisaidie basi mkuu.
 
Uzi kama huu huwezi kupata wachangiaji wengi,ila ndo ingekua "Diamond akata mauno kwenye boti au Diamond apiga picha na dada yake mapaja nje" ungeona utitiri wa comments za kuponda.watu wa celeb forums na watanzania kwa ujumla wana roho za chuki chuki na wivu sana
 
Hapo ndo changamoto asee, lakini si unaweza chomoka kama unaenda matembezi kisha ukakalilia hukohuko?
Huwa sipendi maisha ya kubahatisha.

Mimi ni OG, everything by the book. Kama unapinda unapinda kisheria.
 
Huwa sipendi maisha ya kubahatisha.

Mimi ni OG, everything by the book. Kama unapinda unapinda kisheria.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Daah! Ila safi tu mkuu, tukipataga masafasi ya uhakika tutakujaga hata kusafisha macho tu asee.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…