Ni Diamond tena achafua hali ya hewa UK

dope bwoi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
236
Reaction score
602
Diamond tena aharibu UK show imebuma watu wamelipa ma euro wamekaa mpaka saa kumi alfajiri no show.

Huyu dogo tukimsema kuna watu mnatuona tuna beef na mafanikio yake, ila nitaendelea kusema dogo anakuzwa sana wakati hana hadhi ya international huwezi kuingia mkataba na promoter ambaye hujui kama ni magumashi ama niaje maana lazima management yako ifanye research kabla hujapokea pesa za watu?

Diamond hama management nzuri ni watu wale wale wakuokota anategemea nini?

Mwisho wake uko ukingoni, mashabiki walirudishiwa chao baada ya fujo kubwa nakuharibu mali, polisi walifika nakuokoa jahazi.
 
siku zote analalamika yeye kuhus matapel mbona wenzie hawalalamiki kiufupi dogo hana akili ndo mana siku zote anakuwa kivutio kwa matapeli
 
Tunaomba picha na source ya habari....Diamond tena!
 
Huyu ndiyo promitor Victor au Dj Rule aliekinukisha ila amekamatwa na polisi. Na Diamond akiondoka kuelekea German tena ( sijui kitanuka tena) kisha Canada.
Sorce yeye mwenyewe Diamond ktk page yake ya IG.
 

Attachments

  • 1411207363110.jpg
    33 KB · Views: 1,462
  • 1411207468824.jpg
    29.6 KB · Views: 1,386
Na apigwe tu, mana tumeshachoka.
 
siku zote analalamika yeye kuhus matapel mbona wenzie hawalalamiki kiufupi dogo hana akili ndo mana siku zote anakuwa kivutio kwa matapeli

Mkuu, hata ukiwa msanii, shule shule shule, au vp tumia gharama kuajiri mameneja wa ukweli wenye fani zao. NAWAPO.
 
Hapo mwenye tatizo sio diamond bali ni Babu Tale kama meneja wa msanii.

Kosa la Diamond ni kuajiri meneja wa uswahilini akitegemea amfikishe kwenye international level.... babu tale aweza kuwa mzuri bongo lakini ukimpeleka nje ya mipaka ya tz akili yake na diamond zinakuwa hazina tofauti,wote wanakuwa level moja. Matokeo yake babu tale anakuwa hana msaada wowote.

Huwezi kuokoteza meneja manzese kwa katarajia mafanikio ya kimataifa.
 

Diamond anachukulia simple kila sehemu babu Tale hawezi katika internation level kila siku watakuwa wanatalii nje tu.
 

matumbo naomba usome hii
 
Last edited by a moderator:
"When A Woman's Fed Up"

I'm standing here looking in the mirror
Saying "damn" to myself
I should have known the day would come
That she would find somebody else
And all the things I took her through
Shit, I shouldn't have lasted this long
Now I'm at this telephone booth calling Tyrone

[1] - Cuz when a woman's fed up
(No matter how you beg, no)
It ain't nothing you can do about it
(Nothing you can do about it)
It's like running out of love
(No matter what you say, no)
And then it's too late to talk about it
(Too late to talk about it)

Now let's talk about how it all goes down
I used to make love to you daily
When the night fell the same
And anytime that you were hurt
I could feel your pain
And if I had a dollar
It was yours, yeah
And whenever we would go out
I would front the bill
But now the up is down
And the silence is sound
I hurt you too too many times
Now I can't come around

[1] - Cuz when a woman's fed up
(No matter how you beg, no)
It ain't nothing you can do about it
(Nothing you can do about it)
It's like running out of love
(No matter what you say, no)
And then it's too late to talk about it
(Too late to talk about it)

La da da da da la la da da
La da da da da la la da da
If you don't want to find out the hard way
Then listen to this song while the record plays

[1] - Cuz when a woman's fed up
(No matter how you beg, no)
It ain't nothing you can do about it
(Nothing you can do about it)
It's like running out of love
(No matter what you say, no)
And then it's too late to talk about it
(Too late to talk about it)

You can cry a river
'Till an ocean starts to form, yeah
But she will always remember
Cuz she's a woman scorned
And if you ever get her back
It will never be the same
She's cuttin' the corners of her eyes
Every time she see your face
Now your trust is out the door
She don't want you no more
You used to tell your boys, not me
And she would always be there for you
If you had took the time to see
What that woman meant to you
Is what the mirror said to me, whoa
She was raised in Illinois
Right outside of Chicago
Some of the best cookin' you ever had
Yes, it was and I miss her
Hey woman, if you're listening
I said I miss you baby
 

Yah Iyo kweli maana 0+0= 0, kuna shida sana apa lazima awe Tayari kufanya Iyo kazi na kuajiri watu wa maana
 
Babu tale akija promoter feki akimuongelesha yes no na yeye kwakua lugha haipandi anasema yes bila kuelewa wakifika huko wakipewa hivyo walivoelewana kunatokea mvurugano,tatizo la pili babu tale anapenda kutalii tu nchi mbalimbali hana lolote,domo huyo tale anafaa show za huku kwetu uswazi hizo za nje tafuta kina AY na A-unit wakusaidie.
 

Mkuu wakipewa mikataba wanaangalia amount ya hela na tarehe ya show tu mengine hawaambulii kitu.
 
Mara nyingi mikataba huwa Ina kipengele kinachompa nguvu msanii kutopanda jukwaani bila kumaliziwa kiasi kilichobaki kulingana na makubaliano. Diamond atakuwa anatumia hiko kipengele inapotokea hajamaliziwa pesa. Kwa ninavyoona mapromota huwa wanakwenda kinyume na makubaliano ndiyo maana mara zote tunaona Diamond haingii matatizoni na Police wa nchi husika.
 

Yeah ....AY anaweza kumsaidia kwa show za nje ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…