Diamond tena aharibu UK show imebuma watu wamelipa ma euro wamekaa mpaka saa kumi alfajiri no show.
Huyu dogo tukimsema kuna watu mnatuona tuna beef na mafanikio yake, ila nitaendelea kusema dogo anakuzwa sana wakati hana hadhi ya international huwezi kuingia mkataba na promoter ambaye hujui kama ni magumashi ama niaje maana lazima management yako ifanye research kabla hujapokea pesa za watu?
Diamond hama management nzuri ni watu wale wale wakuokota anategemea nini?
Mwisho wake uko ukingoni, mashabiki walirudishiwa chao baada ya fujo kubwa nakuharibu mali, polisi walifika nakuokoa jahazi.