Ni Diamond tena achafua hali ya hewa UK


Hizo ni kwa Local lakini ukivuka boda mpunga lazima uingie kwa bankwa ndio nanyanyua maguu,babu tale inabidi awaambie hao mapromoter bila kuingiza mpunga 100% hakuna show ndio maana diamond anakutana na aibu kama hizo za kudai uero 250,we unafikiri kina rick ross wakija huku wanalipwa nusu kwanza? Tatizo babu tale anataka kutalii tu nje ya nchi hana lolote show za nje zote inatakiwa ulipwe mpunga 100%!
 

Mikataba mingi haisemi msanii alipwe pesa zote, lengo ni kuwalinda wote Msanii na Promota. Ni utaratibu wa kimakubaliano katika maonyesho Mengi duniani. Mkataba unaweza kusema Msanii atalipwa masaa machache anapofika nchi husika, au masaa ma chache kabla onyesho. Ni makubaliano tu. Na yanapovunjwa mkataba unaamua hatua inayofata. Ndomana mimi nahisi Promota atakuwa amekiuka makubaliano. Ingekuwa ni Diamond amevunja makubaliano tungekuwa tunasema mengine muda huu. Angewekwa ndani na asingeruhusiwa kwenda huko Ujerumani.
 

Huyo promota ndio mahenzi kwa hapo namtetea domo,alimpa nusu akamwambia nyingine atammalizia kabla aja perform ss si ndio akaanza magumashi yake na kumbuka diamond alikuwa tayari UK kwa hiyo hii deal alikuwa anapiga juu kwa juu...huyu promoter anaitwa victor au dj rule ni tapeli tu alishawai kumganyia tid mambo hayo hayo hadi tid akamchana live facebook..! Hapo uk ajulikani hata makazi yake wapi mara bham mara london yaani missio town tu...wasanii wabongo kuweni makini ulaya njaa kali mapromoter wanaibeep wako kibao! Kuna uwezekano promoter akafungiwa kuleta wanamuziki na diamond akafunguwa au kupewa onyo kupiga show uk ingawa sina uhakika kama metropolitan police wameshamuoji kwakuwa hata nje ya ukumbi hakusogea na kaondoka asubuhi asubuhi kukimbilia germany..!
 
Unajua haingii akilini hawa wasanii wetu wanapojisifia kwa media sijui anamilion mia2 bank mara show moja ana chaji dola elfu 25 afu hana ofisi maalumu,management,markting and finance,PR afu anakuambia yeye ni international? Lazima atatapeliwa kila siku mana kila kitu anafanya yeye,babu tale kazi nikupiga picha instagram? Hajui kama hiz scandal zinamwaribia? Huwez skia davido,wizkid,psquare wanapata aibu hizi mana wamejiwekea brand yao na wana management yakueleweka sio babu tale na fela ambao hata ofisi hawana kazi kushinda na vilaptop sebuleni
 
Nilisikia rights zote za diamond anazo RUGE MUTAHABA
 
Kwanini diamond asimchukue Le Mutuz awe manange wake? nadhani ataiwezea
 
apige selfie ya mwisho mwisho maanake anguko linakuja.hata kama promoter ndo magumashi ilipidi walione hilo mapem yeye na management otherwise. domo atadoda soon. watu watachoka.wanaona raha kupanda ndege kabla hawajasoma mkataba.shule jamani muhimu. wote div 6 lazima tutegemee haya.
 
ya management is letting you down...sort it out while u can isn't too late
we love ya music
 
matumbo naomba usome hii

Hizi ishu ni ngumu sana, unaweza ukawa hautoki uswahilini na ukatapeliwa vile vile ...Tale ana madhaifu yake lakini anajitahidi kiasi chake, hapa cha muhimu ni kuwa makini na mapromota wa nje maana wameshajua diamond ana nguvu ivyo ni ize kujaza watu so wanatumia ujanja ujanja ili wapate chochote, na asikwambie mtu ni ngumu sana kubaini uyu ni tapeli au uyu yupo serious kama watu wanavyoongea hapa labda waseme unajua vipi, Africa wasanii wetu bado awajafikia level za kufanya na makampuni ya uhakika kiivo bado tupo level za awa awa promoters.
Mbona juzi kafanya na promoters wa kinaijeria O2 London na show ilikwenda vizuri watu nyomi na kapewa pesa ndefu bila longo longo.
 
Last edited by a moderator:
Yeah ....AY anaweza kumsaidia kwa show za nje ......

AY mwenyewe ameshawai lizwa uko uko UK. Tena yeye ata hotel akupewa alilala nyumbani kwa promota, hii ishu ilikuwa ni ugonjwa kwa wengi sema wengi walikuwa hawasemi kuwa wanalizwa kuogopa aibu uku bongo.

Uhenda hii style ya Diamond ikawafanya waanze kumuheshimu na kuheshimu wasanii wa kibongobongo, maana wanawachukulia kama wanawapeleka kushangaa ulaya .
 
Uhenda hii style ya Diamond ikawafanya waanze kumuheshimu na kuheshimu wasanii wa kibongobongo, maana wanawachukulia kama wanawapeleka kushangaa ulaya .
Sijui kama ataeshimiwa hivi karibuni tena malalamiko yaliyo tapakaa mtaani inabidi aombe msamaha. Watu wengine wametoka nje ya miji kuja muona yeye kipi muhimu fans waliojitokeza au hela ambayo angeweza daiana na promotor pembeni, dogo mshamba sana na sio professional kabisa. Nasikia alipewa £2100 katika £3000 kwa kazi ya lisaa limoja akaambiwa baada ya show atalipwa kakataa ku-perform pimbi kweli yule tugulu.
 
ameshaona kuchelewa ndio kunamrusha zaidi hivyo ataendelea kuchelewa
 
hii issue ya UK nayo ina faida kwake itakuwa imemsaidia kutangaza kimataifa zaidi
 


Matumbo acha utani 02?????????lord have mercy, kafanyia Brixton academy, pale wanafanya watu flani flani bana..hehehehe
 
Nasikia alipewa £2100 katika £3000 kwa kazi ya lisaa limoja akaambiwa baada ya show atalipwa kakataa ku-perform pimbi kweli yule tugulu.
Kwanini yeye ni pimbi na sio p-square wanao lipwa full amount kabla ya kupanda ndege.. ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…