King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mara nyingi mikataba huwa Ina kipengele kinachompa nguvu msanii kutopanda jukwaani bila kumaliziwa kiasi kilichobaki kulingana na makubaliano. Diamond atakuwa anatumia hiko kipengele inapotokea hajamaliziwa pesa. Kwa ninavyoona mapromota huwa wanakwenda kinyume na makubaliano ndiyo maana mara zote tunaona Diamond haingii matatizoni na Police wa nchi husika.
Hizo ni kwa Local lakini ukivuka boda mpunga lazima uingie kwa bankwa ndio nanyanyua maguu,babu tale inabidi awaambie hao mapromoter bila kuingiza mpunga 100% hakuna show ndio maana diamond anakutana na aibu kama hizo za kudai uero 250,we unafikiri kina rick ross wakija huku wanalipwa nusu kwanza? Tatizo babu tale anataka kutalii tu nje ya nchi hana lolote show za nje zote inatakiwa ulipwe mpunga 100%!