Ni Dictator yupi ameua watu wengi zaidi?

Ni Dictator yupi ameua watu wengi zaidi?

Refa Aliyechezesha Mechi Ya Simba Na Yanga Dada Johanes Rutayuha. Ni Zaidi Ya Dikteta Machoni Mwetu Mashabiki Wa Simba Sports Club a.k.a MNYAMA MNYAMANI.
 
huyo mao ze dong mbona wengi wanasema ni hero?
Ni hero kwa sababu
Aliongoza jeshi LA wakomunist waliopigana na wazarendo na kufanikiwa kuiunganisha China iliyojaa kila sina ya mtu.
Ili kuikomboa China kuna wakati ilimbidi atembee Kilomita zaidi ya 2000 kwa miguu milimani. Kati ya mwanajeshi kibao walifika 100 akiwemo na Kijana aliyeibadli China Deng Xioping kama humjui angalia avater yangu. He created foundation of China. Yaani kama bongo baada ya nyerere angefuata mtu kama Magufuli.

Alipofeli japo aliona ni idea nzuri ni idea yake ya Cultural Revolution iliyoendana na leap forward. Kila aliyempinga waliishia jela au risasi. Hata Kijana wake aliyemtrain Deng alipoipinga kwa heshima yake akifungwa kifungo cha nyumbani yeye na mkewe mbali kijijini kabisa.
Hii idea ilisababisha njaaa kubwa na vifo vya wachina zaidi ya mil40
 
Huyo Haile Mariam wa Ethiopia,aisee mi nilidhani Ethiopia ni machotara tupu ndio nashangaa jamaa ana nywele kipilipili kabisa. Mkono wa chuma.
 
Pol Pot si yupo humu JF?
Kumbe dikteta wa JF !!
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
umemsahau yule wa kule kisiwani, aliyesababisha tukakosa mahela hivi karibuni
 
Sasa Weye usio Na elimu ya madrasa
Hata kuandika shidaaa
Halafu unajidai Western hujui wakina Nani?au shule ya J2?


hahaahahhaah najua unaendeshwa na muhemko wa kujitoa muhanga kazi kuwazia mabaya marekani usomee albadiri basi? Watu wanaongelea ma dictator wewe unakimbilia marekani ?toka lini Marekani ikaongozwa na dictator ?
 
Yakubu Gowon
Nigeria : 1966 - 1975
Total kills : 1.1 Million

yakubugowon.jpg


Mengistu Haile Mariam
Ethiopia : 1974 - 1991
Total kills : 1.5 million

Mariam.jpg


Kim II Sung
North Korea : 1948 - 1994
Total killing : 1.6 million

1179638-kim_il_sung.jpg


Pol Pot
Cambodia : 1963 - 1981
Total kills : 1.7 million

polpot1.jpg


Ismail Enver Pasha
Turkey : 1913 - 1919
Total kills : 2.5 million

8437640913_a41d981fc9.jpg



Hideki Tojo
Japan : 1941 - 1944
Total klls : 5 million

t4.jpg


Leopold II of Belgium
Belgium : 1865 - 1909
Total kills : 15 million

king-leopold-of-belgium-congo-genocide.jpg


Adolf Hitler
German : 1934 - 1945
Total kills : 17 million

20100908013927!Bundesarchiv_Bild_183-S33882,_Adolf_Hitler_retouched.jpg


Jozef Stalin
The Sovjet : 1922 - 1953
Total kills : 23 million

00047IW2ETW3O7W0-C122.jpg


Mao Ze Dong
China : 1943 - 1976
Total kills : 78 million
icon00000000006.jpg



eyUnc.jpg
duh kumbe MAO SE DONG naye alikuwa dicteta...........? sa mbona wachina hadi hii leo wanamtukuza kuliko........?
 
Muungwana pengine kuna utofauti kidogo hapa kuna Madikteta wa namna mbili kuna walio fanya mauaji cold blood killings na genocide ndani ya nchi zao hapa ndio uta wakuta kina Bokassa,Amin n.k na kuna madikteta walio anzisha vita nje ya mipaka yao na kusababisha vifo vya raia wengi wasio na hatia ikiwamo askari Hao ndio kina Hitler,Musolin n.k ila kwa Stalin yeye ni habari mbaya alipenda damu ndani na nje ya nchi yake na hata kifo chake kili kuwa cha adhabu.
 
Hivi yule jamaa wa Italia Benito Amilcare Andrea Mussolini hayupo?

9c910cd0da200d5ccc0de1b8a520b4b4.jpg


65f3447e62a434fd654caff7c1735a1a.jpg


e857a833848cdd8885eace910a8828c9.jpg
 
Kwa Afrika vita ya Biafra ndio iliyo leta mauaji hayo makubwa ila sijui Yakub Gowon kwanini ndio ana onekana muuaji kwani ili anzishwa Chukwumeku Ojukwu aliye taka kulitenga jimbo la Biafra na taifa la Nigeria na bahati mbaya sana Tanzania ili msapoti Ojukwu kwa hali na mali,na ikaleta kuto elewana kwa muda.
 
Hivi yule jamaa wa Italia Benito Amilcare Andrea Mussolini hayupo?

9c910cd0da200d5ccc0de1b8a520b4b4.jpg


65f3447e62a434fd654caff7c1735a1a.jpg


e857a833848cdd8885eace910a8828c9.jpg
Hata mfalme Hirohito wa Japan ali side na hawa jamaa kabla nguvu za kifalme kudhibitiwa na kuwa ceremonial ila kwa jinsi Wajapan walivyo kuwa wana mwabudu usi watajie hilo.
 
kagame na museven wako wapi???

Congo civil war funded and run by these 2 people causes death toll of 4.5 million.
 
Back
Top Bottom