GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni hero kwa sababuhuyo mao ze dong mbona wengi wanasema ni hero?
Kwa mimi naweza kukufafanulia kuhusu CCM tu, hawa wengine sijui.Mm naomba ufafanuzi jinsi wanavyofanya mauaji
Sasa Weye usio Na elimu ya madrasa
Hata kuandika shidaaa
Halafu unajidai Western hujui wakina Nani?au shule ya J2?
Mkuu hvi hata ktk hio sentensi panahitaji rocket science? Aiseeeee!
duh kumbe MAO SE DONG naye alikuwa dicteta...........? sa mbona wachina hadi hii leo wanamtukuza kuliko........?Yakubu Gowon
Nigeria : 1966 - 1975
Total kills : 1.1 Million
Mengistu Haile Mariam
Ethiopia : 1974 - 1991
Total kills : 1.5 million
Kim II Sung
North Korea : 1948 - 1994
Total killing : 1.6 million
Pol Pot
Cambodia : 1963 - 1981
Total kills : 1.7 million
Ismail Enver Pasha
Turkey : 1913 - 1919
Total kills : 2.5 million
Hideki Tojo
Japan : 1941 - 1944
Total klls : 5 million
Leopold II of Belgium
Belgium : 1865 - 1909
Total kills : 15 million
Adolf Hitler
German : 1934 - 1945
Total kills : 17 million
Jozef Stalin
The Sovjet : 1922 - 1953
Total kills : 23 million
Mao Ze Dong
China : 1943 - 1976
Total kills : 78 million
Hata mfalme Hirohito wa Japan ali side na hawa jamaa kabla nguvu za kifalme kudhibitiwa na kuwa ceremonial ila kwa jinsi Wajapan walivyo kuwa wana mwabudu usi watajie hilo.Hivi yule jamaa wa Italia Benito Amilcare Andrea Mussolini hayupo?
duh kumbe MAO SE DONG naye alikuwa dicteta...........? sa mbona wachina hadi hii leo wanamtukuza kuliko........?