Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa sioni cha wapiganaji wala mafisadi. sasa sioni tofauti ya Lowasa na Mwakyembe, wala Sitta na Chenge, wala Mengi na Rostam...mtu pekee ambae bado naamini ni msafi ni huyu Dk Salim aliyegombea urais2005, nadhani achukue nchi 2010..Nani ana mashaka
Do you guys really know Salim? Do you know he accepted money from Abacha?
Kaka,Kaka ni wewe kweli? Hope u have enough evidence to substantiate these allegations, na ukumbuke zilishajibiwa siku nyingi....
omarilyas
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa sioni cha wapiganaji wala mafisadi. sasa sioni tofauti ya Lowasa na Mwakyembe, wala Sitta na Chenge, wala Mengi na Rostam...mtu pekee ambae bado naamini ni msafi ni huyu Dk Salim aliyegombea urais2005, nadhani achukue nchi 2010..Nani ana mashaka
Dk. Salim alijitoa kwenye kinya'nganyiro cha urais 2005 baada ya kuona hawezi kushinda bila ya kumwaga pesa kwa wapiga kura NEC.
Mimi naamini ndio mtu msafi pekee aliyebaki CCM ingawa kila binaadamu ana mapungufu yake lakini yeye ni bora X 1,000 ukilinganisha na wengine kwa kuwa uadilifu bado anao!!!!
Huyu mtu ni Msafi.
Ukiacha maskendo ya kupikwa yaliyokuwa yanaibuliwa wakati ule na wanamtandao, kwamba huyu mtu ni HIZBU, na wakatafuta picha za kumdhalilisha za zamaani toka kwenye archieves, SIONI TATIZO LAKE!
Lakini akithubutu kugombea 2010 utaona vijizee vya Zanzibar vinavyojiita vya ASP jinsi vitakavyoibuka na kusema kwa jazba kwamba..."Muungano na Ufe kama huyu Salim akiwa Rais"!
Mimi binafsi nam`admire` sana Salim!
Geoff!
Unasema kweli tutasikia mengi. Udhaifu wa Jakaya Mrisho Kikwete kukimbilia Ikulu akiongozwa na akina RA pamoja na Teddy Lowassa bila kuwa na agenda ndiyo matokeo yake na kuamua kuwapatia mabibi zake uwaziri bila kuchuja yametufikisha hapa.
Dr. Salim ambae aliishia form six au form four put it the way you like it has only formal educaction na huo udokta ni wa heshima tu kama aliopewa Jakaya Kikwete kule Nairobi. Yeye sio msafi actually kati ya watu wa CCM corrupt he is in the lead kama mnakumbuka kuna wakati alikamata uwaziri Mkuu akatuletaa junk cars za jeshi kutoka uaarabuni.Yeye aliingiza TTCL mkenge kwa kutumia Celtel ya yule mwarabu wakajiuzia bure na hawakulipa even the said USD 60m paid by the investor was generally recapitalized and that is the strength of the current Zain cellular company. He is a very smart fisadi. Jk anateua tume iongozwe na mpuuzi Mwinyi aliyeua Azimio la Arusha na kufuta miiko ya uongozi unatarajia nini. Wakati ule Marehemu Nyerere alisema Mwinyi by then president alikuwa anashauriwa na Mama Sitti kuongoza nchi na siku hizi kaachana na Sitti hiyo busara ataipata wapi. If he was slapped by the young moslem extremist for preaching condoms in a maulid baraza what good can you expect from that old cleric cum school teacher!
He was educated at Lumumba College in Zanzibar and later pursued his undergraduate studies at the St. Stephen's College of the University of Delhi and obtained his Masters degree in International Affairs from the School of International and Public Affairs at Columbia University in New York. He became a student activist in the early 1960s and was founder and first Vice President of the All-Zanzibar Student union. He holds six Doctorates (Honoris Causa) including: Doctor of Laws, the University of Philippines at Los Baños (1980), Doctor of Humanities, University of Maiduguri, Nigeria (1983), Doctor of Civil Law, University of Mauritius (1991), Doctor of Arts in International Affairs, University of Khartoum, Sudan (1995), Doctor of Philosophy in International Relations, University of Bologna, Italy (1996), and Doctor of Laws, University of Cape Town, South Africa (1998). Born in Zanzibar
First off, hii habari ya usafi is relative.Hamna binadamu msafi, so let's put things in perspective. I could drop my "All The King's Men" quote but I don't want to make it boilerplate.
Salim amefanya nini? Salim si anatoka establishment ile ile ya CCM? at best Salim hata kama ni msafi personally, anakuwa dogged down na kukosa courage kwake na kukaa kimya.