Uchaguzi 2020 Ni Dkt. Magufuli pekee 2020

Uchaguzi 2020 Ni Dkt. Magufuli pekee 2020

Historia inaenda kumuhukumu Magu...2015 alipata 58.46%....wagombea wote wa CCM kipindi cha pili kura zao zinashuka sana...sasa maboko ya Magu hapati hata 50%...jiandaeni kuiba maana madaraja,ndege nk hazipigi kura
 
hio ni ccm peke yake, lakini meanwhile ukawa waliungana wakatoka boko, sasa hv kila mtu ana mgombea na isitoshe hakuna mtu ana ham ya kuskia chadema tena sasa sjui mtapata ngap saaahv,

huu ni mfano ndogo tu wa kampeni ya mbowe jimboni kwake kidogo wampige mawe sasa sjui saaahv itakuaje na lowasa mabadiliko hayupo tena
 
Capture.JPG
 
Kweli kabisa,lakini Cha ajabu ukiitisha mdaharo wa wazi,akapambane na vijana wadogo Kama TL,mnamficha huyo Dokta wenu,
 
Back
Top Bottom