Historia inaenda kumuhukumu Magu...2015 alipata 58.46%....wagombea wote wa CCM kipindi cha pili kura zao zinashuka sana...sasa maboko ya Magu hapati hata 50%...jiandaeni kuiba maana madaraja,ndege nk hazipigi kura

hio ni ccm peke yake, lakini meanwhile ukawa waliungana wakatoka boko, sasa hv kila mtu ana mgombea na isitoshe hakuna mtu ana ham ya kuskia chadema tena sasa sjui mtapata ngap saaahv,
huu ni mfano ndogo tu wa kampeni ya mbowe jimboni kwake kidogo wampige mawe sasa sjui saaahv itakuaje na lowasa mabadiliko hayupo tena