Ni dr. gani Tanzania anatoa huduma ya IVF (kuwawekea wanandoa mtoto?)

Mungu atawapa kwa majira na wakati wake, msichoke kumuomba


asante sana kwa taarifa hii maana hata mie inanifaa mwaya....mwaka wa 6 huu hatujabahatika na tumepima wote hakuna tatizo...wana jf tuombeane jamani!
 
Je dada ulifanikiwa kupata mtoto? if yes please niambie wapi na shillingi ngapi na mimi nina tatizo hilo
 
Je dada ulifanikiwa kupata mtoto? if yes please niambie wapi na shillingi ngapi na mimi nina tatizo hilo
Nenda instagram kwenye page natakakuwamama kuna information mtu Alitoa alisema gharama ya IVF alifanyiwa kwa $6000 mwingine akasema 16M hospital ipo sijui Mikocheni
 
Dr. Kapona muhimbili hospitali kule maternity. mimi amenisaidia

Nimemsikia sanaa huyu doctor je bora kumfata muhimbili na anapatikana kwa urahisi??
 
Kuna Dr kabanda anapatikana muhimbili na mwananyamala ana clinic yake inaitwa sisa. ..huyu mzee yupo vizuri sana huwezi kuamini.
Kina dada wenye matatizo nendeni huku na waume zenu pia mwende nao Dr yupo vizuri sana kwa mambo ya uzazi na matatizo yake.
 
Nimemsikia sanaa huyu doctor je bora kumfata muhimbili na anapatikana kwa urahisi??

Kumpata kwa urahisi ni kwenda kwenye clinic yake ipo chanika kama unaenda kisarawe
 
Njoo Uganda hapa mbarara kuna hospital inaitwa Divine Mercy hawa Gyna anacharge 3m ya Uganda labda na vipimo kama 3.5m ya uganda ni kama 2 ya tanzania hivi niko hapa Uganda naweza kukusaidia Insha Allah
 
Kumpata kwa urahisi ni kwenda kwenye clinic yake ipo chanika kama unaenda kisarawe

Nashukuru sanaa kwa kuwa na moyo wa ubinadamu asante sanaa jibu lako zuri na la busara, kuna mtu alitoa number yake humu so bora kumpigia kwanza simu au kwenda tu kwenye clinic yake??na huwa abapatikana siku gani hasaa??asante sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…