asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
asante sana my dear...tunaweza kudiscuss tu ukatusaida maana nimechoka upweke huu kwa kweli.
ok! nitarudi kwako baada ya muda........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana my dear...tunaweza kudiscuss tu ukatusaida maana nimechoka upweke huu kwa kweli.
asante sana kwa taarifa hii maana hata mie inanifaa mwaya....mwaka wa 6 huu hatujabahatika na tumepima wote hakuna tatizo...wana jf tuombeane jamani!
Dada Dokta Kapona amekusaidia kwa shillingi ngapi? Maana na mimi nina tatizo hiloDr. Kapona muhimbili hospitali kule maternity. mimi amenisaidia
Je dada ulifanikiwa kupata mtoto? if yes please niambie wapi na shillingi ngapi na mimi nina tatizo hiloNimetafuta mtoto mimi na mume wamgu muda mrefu sasa tumeamua kuwekewa mtoto kitaalamu lakini hatujui huduma hii inapataikana wapi na ni sh ngapi? uwezo wa kwenda India na Ulaya hatuna , mwenye taarifa atujuze tafadhali maana tunapendana na vipimo viko ok kwetu sote wawili
Nenda instagram kwenye page natakakuwamama kuna information mtu Alitoa alisema gharama ya IVF alifanyiwa kwa $6000 mwingine akasema 16M hospital ipo sijui MikocheniJe dada ulifanikiwa kupata mtoto? if yes please niambie wapi na shillingi ngapi na mimi nina tatizo hilo
Wew ni ke au me nijibu tafadhalDada Dokta Kapona amekusaidia kwa shillingi ngapi? Maana na mimi nina tatizo hilo
Dr. Kapona muhimbili hospitali kule maternity. mimi amenisaidia
Nimemsikia sanaa huyu doctor je bora kumfata muhimbili na anapatikana kwa urahisi??
Kwa vile yupo kwenye ndoa sidhani itakuwa anonymous donor.kwa mbegu zako mwenyewe au anonymous donnor?
Kumpata kwa urahisi ni kwenda kwenye clinic yake ipo chanika kama unaenda kisarawe