Linapatikana wapi mkuu?
ngoja utapewa directionLinapatikana wapi mkuu?
Kwa hapo Mlimani city siwezi kupata?.Ndugu yangu apa tz 80% ya mavaz spacial ni fake na akuna mfanya biashara anaekubali kueta mzigo org kwasababu mavaz org yana garama na vitu garama havitoki kiwepesi dukan ivyo mfanyabiashara atachelewa kupata faida pia wafanya biashara nawao hupenda vitu fake coz vinakufa au kuchakaa mapema ivyo ukinunua leo adi miez minne mbele itabid urudi tena ila wateja mkibeba vitu org hamrudi kiwepesi maduka maana bidhaa bado inakizi maitaji
Wakuu nipo njiani kuja Dar ningependa kujua duka lenye bidhaa og
namaanisha shati, tshirt, suruali ,viatu pamoja na crocs og.
Mkuu ukikosa, tuagize UK TuWakuu nipo njiani kuja Dar ningependa kujua duka lenye bidhaa og
namaanisha shati, tshirt, suruali ,viatu pamoja na crocs og.
Og mbona unapata chap tuHuku mkoa kuna crocs fake nataka og angala 35 au 50.
CrocsBidha original taja kama ni kiatu ni make gani au nguo upate mwongozo.
Nitakwenda mkuu.