Ni eneo gani litakuwa 'Masaki mpya' ya Dar es Salaam ndani ya miaka 10 ijayo?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu

Nauliza tu maana juzi nilikuwa napita maeneo fulani ya Goba Tegeta A aisee kuna mitaa imepangika na kuna utulivu wa hali yaa juu sana

Yaani mtaa imepigwa pasi vizuri bila nyumba kukabana koo, kuko kimya kabisa bila kelele za hovyo wala umbeya wa kijiweni, na ukiangalia shoto na kulia unakutana na ma-villa ya hatari yenye electric fence, kamera za CCTV, na mageti ya "Automatic" yaliyotawaliwa na privacy ya kufa mtu

Mi naona baada ya muda ule mtaa unaweza ukawa Masaki mpya

Ni eneo gani ambalo ushatembelea ukahisi baada ya miaka 10 itakuwa ndio Masaki mpya?
 
Jana nilikuwa kwenye msiba mbezi chini karibu na kanisa katoliki la Kizito, mtaa umepangiliwa na nyumba zote ni standard.
 
Wakuu

Nauliza tu maana juzi nilikuwa napita maeneo fulani ya Goba Tegeta A aisee kuna mitaa imepangika na kuna utulivu wa hali yaa juu sana

Yaani mtaa imepigwa pasi vizuri bila nyumba kukabana koo, kuko kimya kabisa bila kelele za hovyo wala umbeya wa kijiweni, na ukiangalia shoto na kulia unakutana na ma-villa ya hatari yenye electric fence, kamera za CCTV, na mageti ya "Automatic" yaliyotawaliwa na privacy ya kufa mtu

Mi naona baada ya muda ule mtaa unaweza ukawa Masaki mpya

Ni eneo gani ambalo ushatembelea ukahisi baada ya miaka 10 itakuwa ndio Masaki mpya?
Sisi wa Mikoani mnatuachaje kwa mfano.
 
Yani Goba unalinganisha na masaki hivi mna akili nyie

Hiyo Goba Ambayo hata sewage system hawana!

Unaelewa maana ya sewage system
Hapana sijailinganisha, nimesema goba inakua kwa kasi, goba ya Leo siyo ya miaka 6 nyuma na haiwezi kuikutia masaki kwenye miaka ya hivi karibuni
 
Goba panakuja kwa kasi ila masaki itakuwa on top kwa miaka mingi ijayo hakuna sehemu jijini ya kupashika
Hujamuelewa.
Goba hapana mopangilio wa mzuri wa majengo na makazi au ofisi kama Masaki.
Masaki yenyewe Wana iharibu.
Labda Mbweni na baadhi ya maeneo ya mradi wa viwanja wa Geza ulole Kigamboni na maeneo mengine ya Kigamboni Kama Avic Town na kwingineko.
 
Goba panakuja kwa kasi ila masaki itakuwa on top kwa miaka mingi ijayo hakuna sehemu jijini ya kupashika
Masaki is the new Upanga.

Panaenda kupotea kama eneo la Makazi.

Biashara na majengo marefu mwanzo.m mwisho.

Eneo la makazi kwasasa ni Mbweni.
 
Wakuu

Nauliza tu maana juzi nilikuwa napita maeneo fulani ya Goba Tegeta A aisee kuna mitaa imepangika na kuna utulivu wa hali yaa juu sana

Yaani mtaa imepigwa pasi vizuri bila nyumba kukabana koo, kuko kimya kabisa bila kelele za hovyo wala umbeya wa kijiweni, na ukiangalia shoto na kulia unakutana na ma-villa ya hatari yenye electric fence, kamera za CCTV, na mageti ya "Automatic" yaliyotawaliwa na privacy ya kufa mtu

Mi naona baada ya muda ule mtaa unaweza ukawa Masaki mpya

Ni eneo gani ambalo ushatembelea ukahisi baada ya miaka 10 itakuwa ndio Masaki mpya?
Sasa unaingia masaki kelele haziruhusiwi mwenye Uzi unapiga kelele kwa kuongea vitu ambavyo haviwezekani Yani goba nilipokuwa nalima mahindi kufanane na masaki? You can't be serious.
 
Back
Top Bottom