Sisi wa Mikoani mnatuachaje kwa mfano.Wakuu
Nauliza tu maana juzi nilikuwa napita maeneo fulani ya Goba Tegeta A aisee kuna mitaa imepangika na kuna utulivu wa hali yaa juu sana
Yaani mtaa imepigwa pasi vizuri bila nyumba kukabana koo, kuko kimya kabisa bila kelele za hovyo wala umbeya wa kijiweni, na ukiangalia shoto na kulia unakutana na ma-villa ya hatari yenye electric fence, kamera za CCTV, na mageti ya "Automatic" yaliyotawaliwa na privacy ya kufa mtu
Mi naona baada ya muda ule mtaa unaweza ukawa Masaki mpya
Ni eneo gani ambalo ushatembelea ukahisi baada ya miaka 10 itakuwa ndio Masaki mpya?
Yani Goba unalinganisha na masaki hivi mna akili nyieGoba panakuja kwa kasi ila masaki itakuwa on top kwa miaka mingi ijayo hakuna sehemu jijini ya kupashika
Hapana sijailinganisha, nimesema goba inakua kwa kasi, goba ya Leo siyo ya miaka 6 nyuma na haiwezi kuikutia masaki kwenye miaka ya hivi karibuniYani Goba unalinganisha na masaki hivi mna akili nyie
Hiyo Goba Ambayo hata sewage system hawana!
Unaelewa maana ya sewage system
Hapohapo mtaa wa Kizito ungeenda mbele kidogo kuna eneo linaitwa Maputo, kuna magenge ya nyanya, viduka na baa. Naona labda Mbweni inaweza kuwa eneo zuri zaidiJana nilikuwa kwenye msiba mbezi chini karibu na kanisa katoliki la Kizito, mtaa umepangiliwa na nyumba zote ni standard.
Hujamuelewa.Goba panakuja kwa kasi ila masaki itakuwa on top kwa miaka mingi ijayo hakuna sehemu jijini ya kupashika
Masaki is the new Upanga.Goba panakuja kwa kasi ila masaki itakuwa on top kwa miaka mingi ijayo hakuna sehemu jijini ya kupashika
Sasa unaingia masaki kelele haziruhusiwi mwenye Uzi unapiga kelele kwa kuongea vitu ambavyo haviwezekani Yani goba nilipokuwa nalima mahindi kufanane na masaki? You can't be serious.Wakuu