👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama
👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni
👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima
👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo
👉Kuazima Pasi kwa washikaji
👉Kununua mboga na chakula Ila anapika mdada jirani ambaye kipindi fulani mambo yake yakiwa hayako sawa
👉Tuambie wewe ulipitia experience ipi? Iwe nzuri au mbaya