Ni fani kagi ya VETA inamfaa kijana alieishia darasa la saba?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Naomba msaada wa kujua fani nzuri veta ambayo inaweza kumfaa kijana ambae ameishia darasa la saba.

Kuna kijana wa dada yangu hakuendelea na masomo ya sekondari, sasa naona nimsaidie kwa kumlipia asomee fani VETA angalau imsaidie kukabiliana na changamoto.

Naomba msaada wa kujua ni fani gani anaweza kusomea VETA.

Ahsante.
 
Muulize kwanza yeye anapenda nini?
Sio unamchagulia kozi ya umeme kumbe ana fani ya kushona nguo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufundi magari ila ungemuuliza kwanza anapenda kusomea kozi gani?
 
Muulize kwanza yeye anapenda nini?
Sio unamchagulia kozi ya umeme kumbe ana fani ya kushona nguo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe mtu

Hiyo veta labda iwe ya kwako nyumbani
Muulize kwanza yeye anapenda nini?
Sio unamchagulia kozi ya umeme kumbe ana fani ya kushona nguo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa darasa la Saba Uhuru wako wa kuchagua kozi na hasa za sayansi unakuwa haupo, acha amchagulie kozi, mfano udereva wa mabasi
 
ni kweli lakini ufundi magari la Saba wansoma bwana.. labda umeme wa magari kwanzia form four..
 
Carpenter
Masonry And Brick Laying
Painter
Refrigerator
 
Kwanini usimsaidie akasome qt ili aongeze ufahamu kidogo maana ufundi ili ukupe maisha inatakiwa fundi uwe unajielewa sio kwenye ufundi tu hata mambo mengine nakushauri mpeleke Qt kwanza

Back
Top Bottom