mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
WEWE KAMA ULISOMA SHORT COURSE UKASHINDWA KUJIONGEZA BASI NI JUU YAKO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE KAMA ULISOMA SHORT COURSE UKASHINDWA KUJIONGEZA BASI NI JUU YAKO.
Unajua course nyingi za VETA ni kupotezeana muda! Haziendani na mabadiliko ya technologia! Wazazi tusikalili kila waliofeli VETA. VETA wako wamelala sio wabunifu sijui kwasababu ni serikali kama kawa course na mitaala ni hile hile ya fundi rangi, kuchomelea, kubonyeza keyboard ya computer, usafi, n.k. eti kwasababu watakupa cheti cha kuhalalisha umesoma. Kiukweli wanayofundishwa hayawasaidii vijana kupata kipato cha kuwatoa hata wakiajiliwa wanakuwa ni vibarua wa kulipwa 5,000 hadi 15,000 kwasiku inayoishia kwenye chakula na nauli.Veta hawapokei la Saba kwenye kozi hizo lazima awe form four
Nenda geita uone darasa la nne wanavyomiliki hela ya dhahabu, hata ukiwa professor unatumwa kama mbwa.Darasa la Saba ni mtu wa kuamrishwa tu, someni acheni njia za mkato
Siyo kweli kiongozi. Nilikuwa pale VETA DAR juzi... tofauti ya form 4 na la saba ni nani aanzie wapi... LA SABA WAPO NA FORM FOUR WAPO... kimsingi, VETA ni ya wale wa la sabaVeta hawapokei la Saba kwenye kozi hizo lazima awe form four
Veta bado sana,nilienda kujifunza ufundi simu,nilijuta kupoteza hela yangu,wanachukua mafundi wa mtaani wasijua kitu..mnaelekezwa kufungua simu na kufunga vipimo vya mita hajui,software hawafundishi siamini tena..kozi za veta..bora usomee..youtube.Unajua course nyingi za VETA ni kupotezeana muda! Haziendani na mabadiliko ya technologia! Wazazi tusikalili kila waliofeli VETA. VETA wako wamelala sio wabunifu sijui kwasababu ni serikali kama kawa course na mitaala ni hile hile ya fundi rangi, kuchomelea, kubonyeza keyboard ya computer, usafi, n.k. eti kwasababu watakupa cheti cha kuhalalisha umesoma. Kiukweli wanayofundishwa hayawasaidii vijana kupata kipato cha kuwatoa hata wakiajiliwa wanakuwa ni vibarua wa kulipwa 5,000 hadi 15,000 kwasiku inayoishia kwenye chakula na nauli.
Wafundishe ufundi simu, mfumo wa umeme wa magari ya kisasa, kuendesha mashine za kisasa za ujenzi wa maghorofa marefu au barabara au madaraja zinalipa saana wapo wengi standard seveni wameenda bondeni (SA) wamesoma na wanakula 1.8m kwenye migodi, SGR, na sasa wanatafutwa daraja la masaki-posta, na lile la mwanza lenye urefu 3.5km. Course nyingine ni za kutumia computer apps au simple programming za kupakia na kupakua taarifa kwenye mtandao. Yako mengi muda ni mchache
Nani anataka ugomvi mkuu?? unaposema tusome unamaan hatuna elimu..!Unaona Sasa unataka kuhamisha mjadala kwenda kwenye ugomvi, kama ni hivyo ngoja niondoke, tafuta mtu mwingine wa kugombana naye
Zingatia uwezo wake, unaacha kumuuliza yeye unakuja kuuliza watu ambao wala hawamjui mhusikaNaomba msaada wa kujua fani nzuri veta ambayo inaweza kumfaa kijana ambae ameishia darasa la saba.
Kuna kijana wa dada yangu hakuendelea na masomo ya sekondari, sasa naona nimsaidie kwa kumlipia asomee fani VETA angalau imsaidie kukabiliana na changamoto.
Naomba msaada wa kujua ni fani gani anaweza kusomea VETA.
Ahsante.