Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Veta hawapokei la Saba kwenye kozi hizo lazima awe form fourAsomee ufundi wa magari gereji hasahasa umeme wa magari haya ya kisasa!
Muulize kwanza yeye anapenda nini?Naomba msaada wa kujua fani nzuri veta ambayo inaweza kumfaa kijana ambae ameishia darasa la saba.
Kuna kijana wa dada yangu hakuendelea na masomo ya sekondari, sasa naona nimsaidie kwa kumlipia asomee fani VETA angalau imsaidie kukabiliana na changamoto.
Naomba msaada wa kujua ni fani gani anaweza kusomea VETA.
Ahsante.
Hata short courseVeta hawapokei la Saba kwenye kozi hizo lazima awe form four
Acha uongo wewe mtuVeta hawapokei la Saba kwenye kozi hizo lazima awe form four
Muulize kwanza yeye anapenda nini?
Sio unamchagulia kozi ya umeme kumbe ana fani ya kushona nguo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe mtu
Hiyo veta labda iwe ya kwako nyumbani
Ukiwa darasa la Saba Uhuru wako wa kuchagua kozi na hasa za sayansi unakuwa haupo, acha amchagulie kozi, mfano udereva wa mabasiMuulize kwanza yeye anapenda nini?
Sio unamchagulia kozi ya umeme kumbe ana fani ya kushona nguo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli lakini ufundi magari la Saba wansoma bwana.. labda umeme wa magari kwanzia form four..Ukiwa darasa la Saba Uhuru wako wa kuchagua kozi na hasa za sayansi unakuwa haupo, acha amchagulie kozi, mfano udereva wa mabasi
ni kweli lakini ufundi magari la Saba wansoma bwana.. labda umeme wa magari kwanzia form four..
Kwahiyo Mimi ni la Saba?? AlaaDarasa la Saba ni mtu wa kuamrishwa tu, someni acheni njia za mkato
Unaona Sasa unataka kuhamisha mjadala kwenda kwenye ugomvi, kama ni hivyo ngoja niondoke, tafuta mtu mwingine wa kugombana nayeKwahiyo Mimi ni la Saba?? Alaa
Unaona Sasa unataka kuhamisha mjadala kwenda kwenye ugomvi, kama ni hivyo ngoja niondoke, tafuta mtu mwingine wa kugombana naye
πππMkuu mtu mwenyewe hatufahamiani halafu anataka ugomvi usio na sababu, mwaka huu watu Kama hawa nitakuwa nawakwepa kama Boko Haram,πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwaka mpya huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada wa kujua fani nzuri veta ambayo inaweza kumfaa kijana ambae ameishia darasa la saba.
Kuna kijana wa dada yangu hakuendelea na masomo ya sekondari, sasa naona nimsaidie kwa kumlipia asomee fani VETA angalau imsaidie kukabiliana na changamoto.
Naomba msaada wa kujua ni fani gani anaweza kusomea VETA.
Ahsante.
Hata short course