nautaka tena
Senior Member
- Jun 29, 2021
- 182
- 213
Wewe unataka nini sasa , au bora liende tu mpaka Mungu atakapokuchukua ?Tusidanganyane,Mjadala wa katiba umekua ni Mjadala wa matumbo yenu..wengine Mnataka kulinda status quo ,wengine mnadhani ikibadilika mtaingia madarakani....TUSIDANGANYANE
Na wewe wafikirije?, Kutaka REFA alie HURU KUFANYA maamuzi nalo kama kwako si JEMA, unateteaje REFA asie huru na kujinasibu hujidanganyi?Tusidanganyane,Mjadala wa katiba umekua ni Mjadala wa matumbo yenu..wengine Mnataka kulinda status quo ,wengine mnadhani ikibadilika mtaingia madarakani....TUSIDANGANYANE
Dhahiriwanajua hawapendwi ndiyo maana hawataki katiba mpya
Noma kweli !Ccm ni wajinga sugu,walizoea kuiba kura wakisikia tumehuru wanakuwa wendawazimu nchi nzima
Siyo kwamba hawayajui haya mkuu. Wanayajua. Ni kiburi tu.Labda kwa faida ya ccm , viongozi wake , wazee wao pamoja na wote waliopita hapo ni kwamba KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI havikwepeki kwa sasa , hakuna namna yoyote ile ya kulikwepa jambo hili , NO WAY ! kwahiyo jambo la msingi kwa watu hawa ni kujiandaa na kujipanga kuishi ndani ya maisha mapya yaliyojaa haki za kikatiba , habari za Akina Mahera , Jecha au Augustino Ramadhan zinakomea hapa ,
Wewe maoni yako ni nini ktk mjadala wa katiba,?Tusidanganyane,Mjadala wa katiba umekua ni Mjadala wa matumbo yenu..wengine Mnataka kulinda status quo ,wengine mnadhani ikibadilika mtaingia madarakani....TUSIDANGANYANE
Kwa umri wa CCM kama chama , na kwa umri wa wanachama wake na viongozi wote wazee waliopita hapo , na kwa umri ambao chama hiki kimetawala na kuongoza Tanzania ni jambo la Aibu kubwa sana ya kufunika uso kuiogopa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Uchunguzi unaonyesha kwamba viongozi wa ccm wakisikia jambo hili la Katiba mpya wanapigwa na baridi kali kiasi cha kutetemeka mwili as If ni Watuhumiwa wanaosubiri kunyongwa huku kitanzi cha kuwaning'iza kikiwa kinateremshwa kwenye shingo zao .
Labda kwa faida ya ccm , viongozi wake , wazee wao pamoja na wote waliopita hapo ni kwamba KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI havikwepeki kwa sasa , hakuna namna yoyote ile ya kulikwepa jambo hili , NO WAY ! kwahiyo jambo la msingi kwa watu hawa ni kujiandaa na kujipanga kuishi ndani ya maisha mapya yaliyojaa haki za kikatiba , habari za Akina Mahera , Jecha au Augustino Ramadhan zinakomea hapa , Mwisho wa kubebwa na hao makada wenu wanaoitwa Wakurugenzi akina Kagurumujuli , Mwakabibi na wenzao imekwisha , NOTHING LASTS LONGER , umefika wakati wa kujieleza mbele za umma mlichokifanya kwa miaka lukuki iliyopita bila kumung'unya maneno , Hakutakuwa na cha Mswalie mtume
Jifunzeni kuishi kwa haki , jifunzeni kushinda chaguzi kwa haki na kikubwa zaidi jifunzeni kuvumilia maumivu waliyoyavumilia wenzenu , Rais Mstaafu Jakaya Kikwete , aliwahi kuwaambieni kwenye vikao vyenu kwamba kama wapinzani wakisema ccm haijafanya kitu , basi ni kazi yenu kuwaambia wananchi kwamba mmefanya hiki na kile , halafu wananchi wapime wenyewe , Waonyesheni MAVIEITE na Maflyover , MADARAKA NI DHAMANA YA MUDA MFUPI TU , muda wenu umekwisha
Hakuna mwenye mamlaka kama katiba haijayatamka hayo mamlaka. Leta kifungu cha katiba kinachompa mamlaka Rais kuzuia mikuyano ya vyama vua siasa.Umesema KATIBA MPYA...TUME HURU haikwepeki kwa sasa....ukamalizia "no way no way".....
Hizi ndizo CHOKOCHOKO ZENYEWE.....
Mamlaka zikikataa ,je hiyo "no way" yako itakuwa na mawanda yapi ?!!!
Uzushi hautakusaidia kituUjenzi wa democracy unafuata bottom-up approach, sio top-down approach. Ni uchizi kwa nchi yenye vyama visivyoongozwa kidemokrasia kufikiria kwamba inaweza kuwa na utawala wa kidemokrasia kwenye level ya nchi. Chadema nyosheni mambo yenu kwanza. Kama hamna ujasiri wa kushughulikia dictatorship iliyomo ndani ya chama chenu, obviously, hamna wisdom na courage ya kupigania democracy kwenye level ya nchi!
Uzushi hautakusaidia kitu