Ni fedheha kubwa sana kwa Chama kikongwe kama CCM kuogopa kabisa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

Noma sana !
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Umesema KATIBA MPYA...TUME HURU haikwepeki kwa sasa....ukamalizia "no way no way".....

Hizi ndizo CHOKOCHOKO ZENYEWE.....

Mamlaka zikikataa ,je hiyo "no way" yako itakuwa na mawanda yapi ?!!!
Kenya waliyaona hayo mawanda ndio wakakubali maridhiano subiri muda bado utafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…