Ni forex tena, zamu hii pokeeni ukweli huu..

Enyi mnaoshawishiwa na mpesa msiwe rahisi hivyo kutekwa. Yapo mengi yaliyofichika nyuma ya broker huyu Templer fx. Tuulizeni sisi. Mtalizwa na mapema
 
Enyi mnaoshawishiwa na mpesa msiwe rahisi hivyo kutekwa. Yapo mengi yaliyofichika nyuma ya broker huyu Templer fx. Tuulizeni sisi. Mtalizwa na mapema

Usije ukamfananisha hata kidogo Templerfx na vibaka wezi wako wa JP Market mkuu
 
Mtanyukwa sana na hiyo forex. Nyie subirini tu. Nilikuwa mmoja wa watu wa mwanzo kuwa tahadharisha juu ya hii biashara
 
Forex Trading with TemplerFx!!

- Anza Forex kwa kutumia broker bora na mwenye uhakika.
- Broker pekee anayetumia miamala ya M-pesa kuweka na kutoa pesa kwa dakika 5 tu!!
- Hauhitaji kwenda benki wala kusumbuka na benki, ni simu yako tu.
-Kiwango cha chini (minimum) kuweka Pesa ni kuanzia $1

JINSI YA KUJISAJILI:

-Kujisajili bonyeza link: Templer FX Trader
-Utajaza majina sawa na yaliyo kwenye kitambulisho chako(Cha taifa, kura, leseni ya udereva, pasi ya kusafiria)
- Utajaza email yako unayotumia
- Utatuingiza namba ya simu (ikiwa vodacom itapendeza) na utaanza na +255....
- Utabonyeza sehemu iliyoandikwa 'I am not a robot '
- Utabonyeza Confirm na Agree to Terms & Conditions.
- Mwisho bonyeza START TRADING na utakuwa umemaliza na kutumia email na password ya kuingilia kwenye brokers account.

Nichek inbox kwa msaada zaidi

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Enyi mnaofanya promo zenu kupitia nyuzi za watu acheni ujinga. Anzisha uzi kama ni rahisi hivyo. Mengi yataongelewa na ambayo hayana picha nzuri kwa JP Markets ila ukweli unajulikana sasa. Itoshe kusema kuwa wakati utaongea.
 
Ni upupu gani huu umeandikwa hakuna fact kwenye huu Uzi wewe utakuwa ni Ontario tu umekuja na ID nyingine ila nashangazwa umeandika mashudu tupu hakuna Yale maneno yako yaliyojawa sukari kama tulivyozoea Et tuwe tunasema ukweli kwenye group la TMT ni ukweli upi ambao mtakuwa tayari kuusikiliza nyie au mnataka mniabishe kwa kuniita hater,snitch halafu yule Mzulu wako mwenye kibwenzi kama dege linataka kupaa aje anitoe nje ya group kwanza mwambie yeye mwenyewe ni newbie kwenye hili game la Forex arudi tena kwa mentor wake BFG huko apigwe pindi mpk awe nondo ndo aje aweze kumanage wanafunzi lakini kwa sasa yeye mwenyewe bado ni newbie siwezi nikafatilia signal za TMT au kushirikiana na TMT mpaka pale nitakapoona yule Mzulu hayupo pale kama mentor na ametolewa kwenye kiti cha signal vinginevyo watu mtazidi kupoteza pesa mpk kunakucha na kama mkigoma basi tutamfata hata Da Mange ahamasishe maandamano tutaandamana hapo JANGID mpaka atajiuzulu tu huyo sababu mmesema wenyewe we are partners and not clients sasa nguvu ya umma itaonekana tu
halafu mkuu bila kujistukia unasimamisha mishipa ya shingo kubishana na watu wote wanaokoment kwenye Uzi wako cha ajabu hakuna hata mmoja anaekusapoti wala kukuelewa ulichoandika sababu hakuna fact bora ufute tu huu Uzi.
 
Kwanza mimi si Ontario. Pili nawe naona umeandika andika tu kama unajifunza. Sio kesi. Kwa hiyo tatizo ni mentor? Basi kwa kuwa yeye ONTARIO huwa anapita humu bila shaka atakusoma na kukuelewa. Na sio kwamba hajui hilo [kama kweli tatizo ni mentor]. Mpeni muda kijana mwenzenu. Mchakarikaji. Hata Roma haikujengwa siku moja. Tuiombee heri TMT na broker wetu JP Markets
 
Sawa ngoja tuone mkuu ila kwa swala hilo sidhani kama Ontario peke yake ataweza kumtoa bwana shaba kibwenzi pale kitini maana anatutambia kuwa TMT hata wakibaki watu wawili yeye atabaki kuwa mentor tu sasa nadhani kumtoa yule dictator shaba kibwenzi inabidi tumtafute Da Mange ahamasishe maandamano ili tumtoe kwa nguvu ya umma.
OVER
 
La msingi ni jamaa kuongeza nguvu kazi. Cre ana nafasi uake pale. Pengine bila yeye hata TMT pengine isingekuwepo. Kiwatoa kwao haikuwa kazi ndogo.
 
Hongera TMT kwa kutuletea elimu hii hapa bongo tena kwa bei poa kabisa. Wengine baada ya kusoma vitabu kadhaa vya Forex kama mentor alivyoshauri tonaona matunda ya hii biashara.
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Templer ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.


Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.


Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.


Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Hakuna watu wapmbv kama Watz mnapenda sana mteremko .......Acha mlizwe tu

Ova
 
Kwa wale wanaohitaj bonus za kuanza kutrade ni pm nitakudirect namna ya kupata ni rahic n wala hauhitaj kudeposit ili uweze kutoa faida yako....ukiishapata faida unatoa hela yako kiulaini kabisa..unaweza kuitumia kwa matumizi yako au kutransfer to another trading account...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…