**NI FORMATION IPI HAPA TZ IKISIMAMA INAWEZA KUFANYA VIZURI NA KUFIKA MBALI?**

**NI FORMATION IPI HAPA TZ IKISIMAMA INAWEZA KUFANYA VIZURI NA KUFIKA MBALI?**

Kitombise

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
8,575
Reaction score
25,619
kwa kule spain utakuta formation ya Barcelona kwenye ushambuliaji ni MSN na ukienda Real Madrid utakuta ni BBC.
sasa nauliza kwa hii timu yetu ya Tanzania ni formation ipi kwenye upande wa attackers ikisimama inaweza kuwa kali kama hizo nilizozitaja hapo juu?[emoji115]
kama tukimuweka Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na [emoji185] itakuwa ina makali yoyote kwel kulinganisha na zile za Spain au kuzikaribia?
Karibuni tujadili labda kocha Boniface Mkwasa anaweza akapita huku Jf na akapata chochote kitu na akakifanyia kazi na timu yetu ya Taifa ikafika mbali kama ilivyokuwa hizi timu[emoji460] za Spain.
 
Ukimwengu,Samata wapewe nafasi ya kuongoza mashambulz
 
hii combination naona imekaa vizuri
Ndio mkuu, hajibu ni mzuri sana katika assist na kufunga, pia ulimwengu ni mzuri sana katika assist kuliko kufunga na samatta ni mzuri katika kufunga na kutoa assist. Hivo hii combination ndo itakuwa na madhara
 
Back
Top Bottom