Ni furaha kubwa kujiunga na JamiiForums

Ni furaha kubwa kujiunga na JamiiForums

Karibu sana. Ila uwe mvumilivu. Humu kuna wachokozi, wababe na watukanaji. Utawazoea tu.
 
Kaka avatar yangu inajieleza, nimefurahi kujiunga na JF kwa ujumla, mwanzoni nlikuwa naingia kama guest@ Daudi kipara
 
Karibu sana mkuu Andfaru.

Inaelekea una kichwa chepesi sana. Kuanza na kuanza umeshajua jinsi ya ku-Mention mtu.

Mkuu,

Wala usihangaike,angalia tarehe aliyojiunga JF.
Andfaru acha kuzingua humu wote tunaakili timamu.

Anyways karibu jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli tarehe yaweza kuwa inaonyesha ni siku nyingi sana lakini sikuwa active. ..nakumbuka nlijaribu kujiunga lakini sikujua namna ya kutumia JF ila leo ndo nimepata maelekezo..ahsante sana hata hivo NDAGLA
 
Last edited by a moderator:
Karibu! Ila uwe great kweli! Siyo kutuletea habar za RUmumba haps! Humu no UKawa ukawa tu
 
Ha ha ha ha ha ha ha nimekupata mkuu@ ZigiZaga
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. .changamoto kama hii ndo sababu mojawapo kubwa kujiunga na Jamii Forum
 
Kurudi wapi? Ndo nishafika tena mkuu@ Daud kipara
 
Kurudi wapi? Ndo nishafika tena mkuu@ Daud kipara

Jifunze kumention majina vizur, unapoandika @ likufuatiwa na jina usiache nafasi kwa mfano Daud kipara lakn usifanye hivi @ Daud kipara

nafikiri umenielewa!
 
Last edited by a moderator:
karibu huku kwetu najua unafuraha ila utaendelea kuwa na furaha kama post zako zitakuwa zenye kujenga na kuelimisha hawa watu wana weza kukkuaribia siku kama sio mwezi
 
Much respect brother. ..nishakaribia Ulimakafu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom