karibu sana mkuuHabari wakuu, ni furaha iliyoje kuwa mmoja wa wanajamiiforums. Natumai utakuwa mwanzo wa kuhabarika, kujifunza, na kushirikiana kwa namna moja au nyingine. Nisiwachoshe, asanteni.
Asante sana.Karibu
Nashukuru mkuu, bila shaka yoyote.Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Asante mno mkuu.Karibu sana JamiiForums...
Karibu mkuu,ID yako ya zamani ilikua Ni ipi?Asante mno mkuu.
KaribuuHabari wakuu, ni furaha iliyoje kuwa mmoja wa wanajamiiforums. Natumai utakuwa mwanzo wa kuhabarika, kujifunza, na kushirikiana kwa namna moja au nyingine. Nisiwachoshe, asanteni.