brazaj rejea tamko la Mbowe kuwa chanjo iwe lazima. Iwapo watu wachanche watajitokeza kuchanjwa na wengi wakagoma, chanjo itakuwa haina maana kwa sababu moja. Hizi chanjo zimetengenezwa kwa kufauata aina ya variants waliopo duniani kwa sasa. Sasa wakichanja watu wachanche na wengi wakawa hawajachanja, maana yake ni kuwa waliochanja watakuwa na uwezo wa kujilinda wasuwe affected sana na maamabukizi ya variant iliyopo mtaani. Kwakuwa wengi watakuwa hawaja chanja, na hawa virus wana mutate , watatengeneza variant nyingine na pengine ikawa kali rahisi ambayo hata kama umechanja utashindwa kuwa protected ipasavyo kwani mwili wako una chanjo ambayo haikuwa trainded kupambana na variant hiyo. Hivi tunavyoongea pfizer ndio wanamalizoa tests za mwish kwa ajili ya chanjo zitakazoambana na variant delta effectively. ndio maana nchi nyingine wanasema chanjo ni lazima.