LGE2024 Ni furaha mtaa ninaoishi kuongozwa na chama Cha upinzani

LGE2024 Ni furaha mtaa ninaoishi kuongozwa na chama Cha upinzani

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!!

Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua.

Sasa umati uliojitokeza ndio Hasa umenipa kufurahi maana wananchi wameitika Kweli Kweli Kwa kuacha KAZI zao kumpokea kiongozi mpya Toka chama Cha upinzani (CHADEMA).

Aliyeshinda wa chama tawala inasemekana alikuwa mkali hatari, ukimuuliza swali tu, anakurukia KICHWA, sasa hata wanachama wa chama chake inaonekana walimhujumu.

Kwenu mnaoongozwa na chama tawala ktk mtaa wenu m ajisikiaje? Cc Erythrocyte .

Karibuni 🙏
 
Japo sikushiriki kupiga kura,

Lakini nimefurahia matokeo.
 
Huku chama Cha kina Lucas Mwashambwa wamejificha uvunguni,

Na mitaa waliyopora ushindi hawajathubutu kushangilia Wala kusherehekea au kupongezana.
 
Back
Top Bottom