Ni Gazeti lipi zuri kutangaza biashara Zambia

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,603
Wanajamvi

Naomba mawazo yenu. Nataka weka tangazo la biashara yangu Zambia. Je ni gazeti gani zuri kuweka tangazo langu?. Target client ni watu wa pato la kati(middle class).

Nawasillisha
 
Wanajamvi

Naomba mawazo yenu. Nataka weka tangazo la biashara yangu Zambia. Je ni gazeti gani zuri kuweka tangazo langu?. Target client ni watu wa pato la kati(middle class).

Nawasillisha
Unataka kuwasilisha biashara gani mkuu ,mm nimepata dil la kupeleka Nazi za kopo, madera na baibui za nyumba, lakin sijapata mwongozo vizur na sijapata mwenyej ,je ww upo Zambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…