Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Wanajamvi
Naomba mawazo yenu. Nataka weka tangazo la biashara yangu Zambia. Je ni gazeti gani zuri kuweka tangazo langu?. Target client ni watu wa pato la kati(middle class).
Nawasillisha