Tuyaache mkuuKaribu mkuu uchangie mada. We ulifikiri magoli gan??
Hatar aiseeee Yan SpainDaah ya v.persie nayo ilikuwa hatari sana, km penguin vile..
Unapoangalia mpira kuna matukio mengi yanatokea ila nadhan tukio linalosisimua zaid ni goli linapoingia, kuna magoli yanafungwa kimaajabu au kiustadi mkubwa hadi yanakuachia kumbukumbu isiyofutika..
Kwangu goli ambalo haliji kufutika ni goli la Didier Drogba aliwapiga Liverpool, hatari sana ile.. nyuma alikuwepo Carragher basi jamaa aligeuka moja kwa moja na shuti moja kali sana golini..Pepe Reina alibaki anazishangaa tu jinsi nyavu zinavyotikisika..
Tupe goli ambalo lipo kwenye kumbukumbu zako..
Mkuu alifunga mchezaji gan??Kuna goli moja nilifunga kwa style ya mbuzi kagoma. Lilikuwa amazing sn kwa sababu binti alikuw anatoa kamlio fulani kalikokuw kananipa hamasa sn. Yan mpk miguu iliweweseka aisee...!!! Lilikuw booonge la goli..!!
Nakumbuka hiyo kitu.. akina terry, cavalho wakawa wanachezeshwa singeli na fundiGoli la Ronaldinho akiwa barca vs Chelsea ilikuwa ni bonge moja la goli kama vile anadance kumbe ndo hvyo anawatoboa The blauzi kama hujui hilo goli anza kufatilia siasa za bongo achana na soka hulijui