Ni goli gani halitoki kwenye kumbukumbu zako??

Goli la kapombe kule algeria...alitumia ufundi sana
 
Diego Armando maradonaa
Argentina vs England 1986
Alipangua England yote mpaka golie kwangu mie ni bora kabisa hili goli
 
Soka la bongo tulikuwa hatulioni laivu kwa kama miaka 3 iliyopita kurudi nyuma.labda mechi yanga na simba.Hivyo kumbukumbu zaidi nikwa ligi za ulaya.
Mi nakumbuka gori la Denis Bekamp la dk ya 1,Arsenal vs Newcastle mwaka 2000 "turning" ya hatari.
 
Goli la Chicharito(hernandez),mechi dhidi ya chelsea...alifunga goli dakika ya kwanza
 
Goli la Hillary Ochesa alimtungua golikipa mzungu wa ndala fc Kutoka katikati ya uwanja! Goli la 4 anaweka wavuni!
 
Drogba...fainali ya bayern munich,jijini munich
Lile goal la kichwa liliniamshia furaha ambayo sijawai ipata labda nilipokula 500k ya mhindi,manake washabiki wa blues tulikuwa tusharudisha mpira kwa kipa,tumekata tamaa kabisa wanaume macho mekundu mishipa imetutoka huku tukimlaani mula kwa kila kilugha,lakini D.drogba sijui alitoka wapi aise,lile goal siji lisahau maishani
 
Athuma abdala China, Yanga na RTC kigoma Shamba la Bibi.Mashabiki walisha anza kutoka uwanjani wakiamin yanga amesha fungwa moja bila .
Goli la RTC Kigoma likiwa limefungwa na Makumbi Juma(Homaya jiji). China aliisawazishia Yanga akiwa umbali kama wa mita 30 Goli la kaskazin mwa uwanja. Lilikua shuti Kali LA chini. Mashabikiwa Yanga waliotoka wali rudi kushangilia bao hilo la dakika za majeruhi.
 
Zidane, Finali ya klabubingwa ulaya Bayerlaverkusen vs Madrid. Kros kutoka kwa Roberto Caros
 
Diego Foran "Uruguay" 2010 World Cup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…