makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
ILO GOLI NAKUMBUKA MWANANGU ALIKUWA ANA MIEZI 9 LAKINI ALISHANGILIA HADI TULISHANGAAIlikuwa mechi ya fainal (FA FINAL CUP) may 2006.
West ham United vs Liverpool.
Mechi iliisha kwa sare ya goli tatu kwa tatu,mechi ilikuwa nzuri mno goli la Steven Gerard hili siwezi kulisahau mechi ilikuwa 3-2 huku west ham United akiongoza lakini steven alipiga mashine moja matata ambalo lilikuwa goli la kusawazisha akiwa umbali mrefu sana kutoka golini (nadhani ilikuwa katikati ya uwanja).
Bonge la goli, mechi iliisha kwa Liverpool kutwaa kombe la FA kwa mikwaju ya penati.
"The Gerrard final"
Hahaha,vipi hukum'pa hata jina la Steven/Gerard...?ILO GOLI NAKUMBUKA MWANANGU ALIKUWA ANA MIEZI 9 LAKINI ALISHANGILIA HADI TULISHANGAA
yeye alidhani yale yenu vijanaKaribu mkuu uchangie mada. We ulifikiri magoli gan??