Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the netUnapoangalia mpira kuna matukio mengi yanatokea ila nadhan tukio linalosisimua zaid ni goli linapoingia, kuna magoli yanafungwa kimaajabu au kiustadi mkubwa hadi yanakuachia kumbukumbu isiyofutika..
Kwangu goli ambalo haliji kufutika ni goli la Didier Drogba aliwapiga Liverpool, hatari sana ile.. nyuma alikuwepo Carragher basi jamaa aligeuka moja kwa moja na shuti moja kali sana golini..Pepe Reina alibaki anazishangaa tu jinsi nyavu zinavyotikisika..
Tupe goli ambalo lipo kwenye kumbukumbu zako..
Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the net
Acha kabisa
Wewe Babu mwehu kabisa!!Goli la Kichuya dhidi ya Yanga... Kona ya moja kwa moja.
Liliufanya mji wa Dar utulie kabisa, na watanzania tukakwepa kelele za vyura...
Ahaha umetisha Mkuu,Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the net
Acha kabisa
Walikuwa wakiniita D.DrogbaAhaha umetisha Mkuu,
Itabidi uzi wa watu waliowahi kucheza soka lakini kutokana na changamoto au mifumo ya Elimu wakatupilia mbali maswala ya kucheza soka uanzishwe mara moja.
Mimi nakumbuka tumeingia form one tulipokelewa kwa kipigo kitakatifu cha goli tano kwa moja(5-1).
we tuliza mihemko Spain hawakubeba kombe Spain walibeba 2010 ila hyo mech ilkua 2014 Shusha pumzHatar aiseeee Yan Spain
Wali beba kumbe likn shuhuli waliipata
Drogba alikuwa hatari sana bwana yule.Walikuwa wakiniita D.Drogba
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mkuu umetishaaa sana.Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the net
Acha kabisa