Ni goli gani halitoki kwenye kumbukumbu zako??

Unapoangalia mpira kuna matukio mengi yanatokea ila nadhan tukio linalosisimua zaid ni goli linapoingia, kuna magoli yanafungwa kimaajabu au kiustadi mkubwa hadi yanakuachia kumbukumbu isiyofutika..

Kwangu goli ambalo haliji kufutika ni goli la Didier Drogba aliwapiga Liverpool, hatari sana ile.. nyuma alikuwepo Carragher basi jamaa aligeuka moja kwa moja na shuti moja kali sana golini..Pepe Reina alibaki anazishangaa tu jinsi nyavu zinavyotikisika..

Tupe goli ambalo lipo kwenye kumbukumbu zako..
Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the net

Acha kabisa
 
Goli la Peter Tino pale Zambia kutupeleka Lagos kwenye fainal za mataifa ya Afrika,mtangazaji wa RTD aliyetangaza ule mpira na goli lile was the best,Jongo na kama wewe majina yafuatayo they sounds French pole maana hujaishi wakati nchi ina adabu,Juma pondamali,L.Tenga,J.Mtwagwa,P.Tino,T.Ally,M.Salim(wa coastal union),wengine pls ongezeeni waungwana,tuna kumbukumbu kubwa yaliyotokea nchi za nje kuliko ya kwetu wenyewe,SHAME ON US!!!
 
Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the net

Acha kabisa
Video basi mkuu
 
Wacha weeee
maisha yanaendaje apo barcelona
 
Goli la Ronadihno,muingereza anakufa mbele ya Brazil,goli hili linamfanya kipa David seaman kustaafu mpira.
 
Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the net

Acha kabisa
Ahaha umetisha Mkuu,

Itabidi uzi wa watu waliowahi kucheza soka lakini kutokana na changamoto au mifumo ya Elimu wakatupilia mbali maswala ya kucheza soka uanzishwe mara moja.

Mimi nakumbuka tumeingia form one tulipokelewa kwa kipigo kitakatifu cha goli tano kwa moja(5-1).
 
Walikuwa wakiniita D.Drogba
 
Hatar aiseeee Yan Spain
Wali beba kumbe likn shuhuli waliipata
we tuliza mihemko Spain hawakubeba kombe Spain walibeba 2010 ila hyo mech ilkua 2014 Shusha pumz
 
Mimi nakumbuka free kick ya mtu mzima Roberto Carlos yaani ni bonge la goli.
 
Kuna goli nilifunga nikiwa form three... nilikokota washamba kama wanane hivi, piga chenga wote... kipa akatoka, nikamtisha akachanua, basi nikatoa slow pass to the net

Acha kabisa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mkuu umetishaaa sana.
 
Back
Top Bottom