Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijipe moyo sana mkuu,.ungepima vyote tuu kuondoa mzizi wa fitna,.Habari za jion wakuu, Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo, Leo nlienda aga khan hospital nkajieleza kwa doctor akachukua urine sample and blood sample majibu ni kwamba nna UTI na nimepewa vidonge vya ciprofloxine na paracetamol, asanteni kwa ushauri na jion njema.
Mkuu upo sahih japo walichukua damu skujua walichokipima, ila nlimwambia doctor concern yangu na stdUsijipe moyo sana mkuu,.ungepima vyote tuu kuondoa mzizi wa fitna,.
Iki fail chukua ofloxacin ni jamii ya cipro zote zipo kwenye group la flouroquiniline ilaaa hiyo iko more effective ina case ya chronic U.T.IHabari za jion wakuu, Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo, Leo nlienda aga khan hospital nkajieleza kwa doctor akachukua urine sample and blood sample majibu ni kwamba nna UTI na nimepewa vidonge vya ciprofloxine na paracetamol, asanteni kwa ushauri na jion njema.
Thanks mkuuIki fail chukua ofloxacin ni jamii ya cipro zote zipo kwenye group la flouroquiniline ilaaa hiyo iko more effective ina case ya chronic U.T.I
Mkuu kwa hizo dalili ulizoelezea ni za kaswende, pamoja na matibabu ya UTI jaribu kufanya monitoring afya yako kwa miezi kadhaa kama utaendelea kuona dalili nyinginge chukua hatua. Kaswende huwa haionekani kwa urahisi utaishiwa kuambiwa una UTI wakati inakula ndani kwa ndani. Waweza maliza miaka mutatu na zaidi bila kuo kuonekana.Habari za jion wakuu, Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo, Leo nlienda aga khan hospital nkajieleza kwa doctor akachukua urine sample and blood sample majibu ni kwamba nna UTI na nimepewa vidonge vya ciprofloxine na paracetamol, asanteni kwa ushauri na jion njema.
Na tiba ya kaswende ni sindano ya Pencilin pekee. Ingekuwa gono dalili zake zimajulikana ndani ya wiki tatu tena maumivu makali sana. Jaribu kusoma machapisho mbalimbali kuhusu Kaswende(syphils) itakusaidia, usikomae na kutibu UTI wakati una ugonjwa wa hatari, kaswende ni hatari muno kuliko STD zote.Thanks
Habari zenu wakuu, ipo hivi, miezi miwili iliyopita nilipata skin infection around the head of my penis, nkaenda pharmacy nkapewa sonaderm nkatumia nkaacha kuitumia baada ya kuona nmepona, ila last week nkaona ile infection inarud upya na njia ya mkojo ikiwasha, nkanunua sonaderm nkaanza kutumia na naendelea vizuri sasa cha kushangaza leo nlipoamka asubuh nkiwa napata haja ndogo ukatangulia usaha kisha ukafuata mkojo wa kawaida (mweupe) na mda c mrefu nmetoka kujisaidia umetangulia usaha kisha ukafuata mkojo, je ni ile skin infection imeingia kwenye njia ya mkojo au Gono? (nilikutana kimwili mara ya mwisho 02/1/2017 na ilkua peku na my long term girl friend)....pia sihisi maumivu yoyote nikiwa najisaidia haja ndogo.
Syphilis ni Kaswende, Kisonono ndio GonoSyohills ndiyo Kisonono ni kibaya sana ndugu yangu bora gono. Na huyo demu mwambie aende hospital akafanye hivyo hivyo.
Kwa dalili hizo za mwanzo haiwezi kuonekana, inaanza kuonekana kwenye hatua ya tatu iitwayo Latent(hidden), asilimia chache sana ya watu inaonekana kwenye hatua za mwanzoMkuu fanya hivi: Nenda hospital omba ufanyiwe kipimo kinaitwa VDRL pia pima na mkojo kujua kama una gono. Unaweza hata usimwone dr kwanza kama unaona aibu we nenda laboratory moja kwa moja haitakugjarinu hata buku kumi. VDRL itakusaidia kujua kama una Syphills.
Usipoteza muda wahi hospital sasa.