Ni hadaa na kujidanganya kwamba mahitaji muhimu sana ya wananchi wa Tanzania ni sheria za uchaguzi kubadilishwa

umejiuliza mbona kibaka na tapeli wa siasa havizungumzii?

sasa kama kibaka wa siasa hazungumzii hivyo, anazungumzia uchaguzi tu, wewe si utakua mpotoshaji gentleman?πŸ’
Huna akili, hivyo vitu vinaletwa na viongozi na ndio maana tunataka viongozi waliochaguliwa na wananchi kwa haki.

Sio viongozi wa magumashi wanaouza rasilimali za nchi
 
kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani ni kitu mbaya sana.

kama huna hoja yenye mashiko na una zaidi ya miaka 15JF, huna haja kusingizia waliojiunga JF jana au juzi, kaa kimya tu na itapendeza zaidi

Chaguzi huru na za haki Tanzania zitaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi bila kujali makelele wala mihemko ya mtu yeyote na utapeli wake πŸ’
 
My lady,
kwamba kuna wa kubabaika na kupiteza wakati hizo script za drama?

ni muhimu mkazitumia ninyi wenyewe katika kupeana moyo, kupandishana mori na mihemko mnapowapotosha na kuwatapeli wananchi ili wawaone huruma na kuwaunga mkono.

Chaguzi huru, za wazi na za haki Tanzania, zitaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi bila makelele ya kibaka yeyote wa siasa kutoka chama chochote cha siasa.

Na tunapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu mwezi October, hakua kifungu, nukta au koma katika sheria au katiba itabadilishwa na waTanzania wote watashiriki uchaguzi mkuu huo wa kihistoria kwa salama na amani.

atakaeleta fyokofyoko atadhibitiwa vizuri sana na kikamilifu bila wasi wasi wowote πŸ’
 

Brainless child!


Wataalam wa upasuaji wa fuvu huenda wakakuta uwazi mkubwa kwenye kichwa cha Tlaatlaah badala ya ubongo
 
Huna akili, hivyo vitu vinaletwa na viongozi na ndio maana tunataka viongozi waliochaguliwa na wananchi kwa haki.

Sio viongozi wa magumashi wanaouza rasilimali za nchi
relax basi muerevu,
hayupo mgombea uongozi atakaeruhusiwa kushiriki uchaguzi ikiwa hajatimiza sifa, vigezo na masharti ya kikatiba ya nchi. Mgombea kama huyo lazma aenguliwe ili pasitokee unajisi katika katiba yetu.

Muhimu zaidi ni kujitokeza kwa wingi, kupiga kura na kuchagua viongozi tuwapendao kutuongoza.

hakuna haja ya kumbwelambwela gentleman πŸ’
 
Huna akili, hivyo vitu vinaletwa na viongozi na ndio maana tunataka viongozi waliochaguliwa na wananchi kwa haki.

Sio viongozi wa magumashi wanaouza rasilimali za nchi

Sure. Injustice anywhere is injustice everywhere. Tuzidi kupaza sauti. Check video...

Your browser is not able to display this video.
 
relax my lady,
ikiwa umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya, hoja na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi kinzani, busara ikuelekeze kupumzika tu na kukaa kimya na itapendeza zaidi.

hakuna haja kujiexpose ulivyo useless na completely nonsense kichwani dhidi ya masuala haya muhimu sana ya kisiasa nchini.

Epuka vibaka na matapeli wa kisiasa na ukumbuke uchaguzi mkuu ni Oct mwaka huu 2025πŸ’
 
CHAWA Work
 


Wasomaji wa mnyukano huu ndoo watakuwa mahakimu wetu. Lkn nina uhakika kichwani mwako hakuna ubongo.

 
Sure. Injustice anywhere is injustice everywhere. Tuzidi kupaza sauti. Check video...

View attachment 3237736
haya mambo ya pwagu na pwaguzi kupeana moyo na kupotoshana kisiasa, yanazidisha uwezekana wa kutapeliwa na vibaka na matapeli wa kisiasa kwa kiwango cha juu sana,

inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwakweli πŸ’
 
 

Attachments

  • 3049818-bea797ab6cbc71c96b0e8f1726a165b5.mp4
    55.4 MB
haya mambo ya pwagu na pwaguzi kupeana moyo na kupotoshana kisiasa, yanazidisha uwezekana wa kutapeliwa na vibaka na matapeli wa kisiasa kwa kiwango cha juu sana,

inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwakweli πŸ’

Masuala yanayohusu utawala wa sheria kwako ni masuala ya pwagu na pwaguzi?

Ndio maana juzi mkutano wenu wa ccm ulivunja katiba kwa kumteua mgombea urais ambaye hajajaza fomu ya kuomba nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba ya ccm na kanuni zake.

Tukisema kuwa nyie ni TABULA RAZA mnakataa!

Hakuna kitu vichwani Mwenu!

 
Acheni hizi mambo...sheria ziwe za haki..zisiwe za kupendelea chama kimoja....usijiamini mambo hubadilika
 
Sidhani kama unaongea kwa faida ya nchi au kwa faida yako mwenyewe kama ni kwa faida yako na tumbo lako upo sahihi, hata kama, Chama chako tu ndicho wagumbea wake watapitishwa na hiyo mnayo iita tume huru haina shida. Kwakuwa mnanufaka na kufaidika na hali ilivyo sasa wewe unaona ni sawa tu, vyovyote vile vyama vingine vinavyo fanywa bora tu nyie mnufaike. Sidhani chaguzi na viongozi wa kuchaguliwa kinamnaa hii wanatija yoyote kwa wananchi ndiyo maana wanajijazia masuru kwakuwa wanajuwa wamejiweka pale kwa ajili hiyo. Wala karne hii nchi kama tanzania haikupaswa kuzungumzia maswala ya maji, barabara, matundu ya choo, karne tulipaswa kuzungumzia maswala mazito ya kuhusu kuimari, sa uchumi wetu ila mpaka leo tunafikiria kutafuta wawekezaji waje wavune rasilimali zetu tulizo pewa na mungu wala hatufanyi jitihada zozote za kuwaandaa watu wetu kuweza kusimamia njiia kuu za uchumi.Fikra zako ni mfu wala ujui unalo lizungumza. Viongozi wanaopatikana kwa njia haramu huja kuondolewa kwa njia harama na hapo ndipo huchumi huribika kabisa. C. C. M ikiharibu uchaguzi huu ijue itarudisha nyuma uchumi wetu mara kumi ya wamagufuli na damage yake haitaweza kuimari,, ka kwa kipindi kifupi. Najua kuwa mikakati yote tayari imeshakuwa tayari, ila athari yake sijui kama wameipigia mahesabu. Kuteka, kuua nakupoteza watu wala haitakuwa suruhu yakuwanyamazisha watu ila, kadiri mnavyozama ndivyo mnavyo teketea. Wekeni tume huru bado mnauwezo wa kushinda kwa mda mrefu ingawa ushindi hautakuwa wak,, kishindo.
 
Wajinga wakubwa nyie mmebanwa safari hii, mifumo ya hovyo ndiyo inatuletea watu majizi na majangili ya mali za umma, tuambie Rais alitoa wapi milioni 700 za kuwapa taifa star kwenye budget ipi?
 
Au twende na hoja ya babu yetu mpya wa CCM kwamba - "wananchi wana njaa hawawezi kula katiba mpya".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…