Ni hadaa na kujidanganya kwamba mahitaji muhimu sana ya wananchi wa Tanzania ni sheria za uchaguzi kubadilishwa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k

Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.

Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.

Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025 :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ni hitaji muhimu sana kwa Katiba ya Nchi na Sheria zingine za nchi kubadilishwa na/au kufanyiwa Marekebisho.

Kwenye Mchakato mzima wa Kufanya hayo Marekebisho Wananchi wote kabisa wanapaswa kushirikishwa kikamilifu katika hatua zote kabisa.

Katiba ya nchi ambayo inatumika hivi Sasa hapa Tanzania imetungwa kwa Wanachama wa CCM wasiozidi 100, hivyo imekosa uhalali wa kuwa Katiba ya Nchi kwa sababu Wananchi wenyewe kwa wingi wao kamwe hawakuwahi kwa namna yoyote ile kushirikishwa kwenye mchakato wa utungaji wa hii Katiba ya Sasa.

Hivyo, ni wakati muafaka kabisa Sasa Wananchi wenyewe waweze kujitungia Katiba yao wao wenyewe ili waondokane na janga hili la kuwepo kwa Katiba ya kuletewa.
 
Nyumba ni msingi. Ukiwa na msingi dhaifu hata uimarishe vipi ukuta, paa bustani , na urembo wote nyumba ita anguka tu.

Msingi wa maendeleo ya taifa ni uchaguzi. Ukiwa na uchaguzi dhaifu unao waweka madarakani viongozi wasio chaguliwa na wananchi hutaweza kuimarisha huduma za jamii ulizozitaja. Na ndo imekuwa hivi kwa miaka yote 60 ya uhuru lakini hadi leo tuna imba nyimbo zile zile za wajawazito kukosa vifaa vya kujifungulia.

Hivyo ni lazima tuanze na msingi. No Reform No Election.
 
Huyo ni Chawa wa Chama tawala ambaye anafanya Siasa za Ushabiki bila ya Hoja.

Hivi anajua ni kwa nini hasa kule DRC Sasa hivi Waasi wa M23 wanateka miji na mikoa kwa urahisi Sana bila ya kupata upinzani wowote mkali kutoka kwa Wananchi wa nchi hiyo au kutoka kwa Wanajeshi wa Serikali iliyopo huko? Anazijua sababu zake?
 
Ni hitaji muhimu sana kwa Katiba ya Nchi na Sheria zingine za nchi kubadilishwa na/au kufanyiwa Marekebisho.

Kwenye Mchakato mzima wa Kufanya hayo Marekebisho Wananchi wote kabisa wanapaswa kushirikishwa kikamilifu katika hatua zote kabisa.

Katiba ya nchi ambayo inatumika hivi Sasa hapa Tanzania imetungwa kwa Wanachama wa CCM wasiozidi 100, hivyo imekosa uhalali wa kuwa Katiba ya Nchi kwa sababu Wananchi wenyewe kwa wingi wao kamwe hawakuwahi kwa namna yoyote ile kushirikishwa kwenye mchakato wa utungaji wa hii Katiba ya Sasa.

Hivyo, ni wakati muafaka kabisa Sasa Wananchi wenyewe waweze kujitungia Katiba yao wao wenyewe ili waondokane na janga hili la kuwepo kwa Katiba ya kuletewa.
mi nadhani bado ipo changamoto kuhusu uelewa na ufahamu wa wanasiasa juu ya nini hasa mahitaji ya wananchi.

naona ni mwendo wa kuzungumzia mahitaji ya viongozi tu ya vyeo na madaraka.

kwanini matapeli na vibaka wa kisiasa hawapendi kuzungumza kuhusu mahitaji ya kila siku ya wananchi, mathalani maji, elimu na afya?

au mambo hayo yamefanyika vizuri zaidi na kuwatosheleza wananchi kiasi kwamba waone sheria za uchaguzi ndio muhimu zaidi ya mahitaji mengine ya kila siku? :DisGonBGud:
 
Nyumba ni msingi. Ukiwa na msingi dhaifu hata uimarishe vipi ukuta, paa bustani , na urembo wote nyumba ita anguka tu.

Msingi wa maendeleo ya taifa ni uchaguzi. Ukiwa na uchaguzi dhaifu unao waweka madarakani viongozi wasio chaguliwa na wananchi hutaweza kuimarisha huduma za jamii ulizozitaja. Na ndo imekuwa hivi kwa miaka yote 60 ya uhuru lakini hadi leo tuna imba nyimbo zile zile za wajawazito kukosa vifaa vya kujifungulia.

Hivyo ni lazima tuanze na msingi. No Reform No Election.
Gentleman,
are you okey?
kwahiyo sheria za uchaguzi zibadilishwe ili upate vifaa vya kujifungulia right?:pedroP:
 
Ni mwendawazimu pekee asiyettaka katiba mpya
vibaka na matapeli wa kisiasa wasio na mipango mikakati ya kutatua changamoto za mahitaji muhimu ya kila siku ya wananchi, bali wanapambania vyeo na madaraka ni muhimu sana wakapuuzwa tu kuanzia sasa mpaka kwenye sanduku la kura oct.2025 :NoGodNo:
 
Gentleman,
are you okey?
kwahiyo sheria za uchaguzi zibadilishwe ili upate vifaa vya kujifungulia right?:pedroP:
Najua unajua na unaelewa vizuri. Ila kwa sababu kula kwako na familia yako kuna tegemea dhuluma za kisiasa una chachawa kuona watu wameamka. Unahofia kukosa tonge. Pole sana.
 
Huyo ni Chawa wa Chama tawala ambaye anafanya Siasa za Ushabiki tu bila ya Hoja.

Hivi anajua ni kwa nini hasa kule DRC Sasa hivi Waasi wa M23 wanateka miji na mikoa kwa urahisi Sana bila ya kupata upinzani wowote mkali kutoka kwa Wananchi wa nchi hiyo au kutoka kwa Wanajeshi wa Serikali iliyopo huko? Anazijua sababu zake?
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo kindezi sana aise dah :pedroP:
 
Gentleman,
are you okey?
kwahiyo sheria za uchaguzi zibadilishwe ili upate vifaa vya kujifungulia right?:pedroP:
Vifaa vya kujifungulia tayari tumeshajinunulia kwa agizo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
Sasa tunahitaji katiba mpya nchi ifanyiwe overhaul
 
Mgombea uraisi anamteua mkurugenzi wa "tume huru ya uchaguzi"!

Hizo ni akili za kingumbaru!
 
Najua unajua na unaelewa vizuri. Ila kwa sababu kula kwako na familia yako kuna tegemea dhuluma za kisiasa una chachawa kuona watu wameamka. Unahofia kukosa tonge. Pole sana.
relax gentleman,

why matapeli na vibaka wa kisiasa nchini hawataki kabisa hata siku moja kuzungumzia nini watafanya kuhusu upatikanaji wa maji safi, huduma bora za afya, elimu kilimo n.k?

au mambo haya sio tatizo kabisa kwa wananchi, ila shida kubwa ya wananchi ni kibaka wa siasa apate cheo?:pedroP:

au serikali iliypo madarakani imemaliza kabisa shida za wananchi na tatizo na hitaji kubwa zaidi la wananchi kwa sasa ni kubadilishwa sheria za uchaguzi?:pedroP:
 
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k

Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.

Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.

Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025 :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Bila shaka wewe ni mnufaiko mkubwa wa hiyo system mbaya ya uchaguzi inayolalamikiwa.
 
Vifaa vya kujifungulia tayari tumeshajinunulia kwa agizo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
Sasa tunahitaji katiba mpya nchi ifanyiwe overhaul
nadhani ni muhimu zaidi kwanza katiba za vyama vya matapeli na vibaka wa siasa zikabadilishwa,

si kulikua na makelele na kubwekabweka kwingi sana wakati wa chaguzi za ndani ya vyama vyao kwamba katiba za vyama vyao ni mbovu na zinahitaji kubadilishwa?

au ukipofu na ulevi wa madaraka umewapumbaza na hizo katiba sasa hivi ni nzuri baada ya kua madarakani? :pedroP:
 
relax gentleman,

why matapeli na vibaka wa kisiasa nchini hawataki kabisa hata siku moja kuzungumzia nini watafanya kuhusu upatikanaji wa maji safi, huduma bora za afya, elimu kilimo n.k?

au mambo haya sio tatizo kabisa kwa wananchi, ila shida kubwa ya wananchi ni kibaka wa siasa apate cheo?:pedroP:

au serikali iliypo madarakani imemaliza kabisa shida za wananchi na tatizo na hitaji kubwa zaidi la wananchi kwa sasa ni kubadilishwa sheria za uchaguzi?:pedroP:
Shida zote unazozitaja zimeletwa na kuendelezwa na viongozi wasio na maono. Na viongozi hao wamepatikana kupitia mfumo mbovu wa uchaguzi unaolalamikiwa.
 
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k

Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.

Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.

Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025 :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Kwani mahitaji ya wa Tanzania ni ya yapi?
 
Mgombea uraisi anamteua mkurugenzi wa "tume huru ya uchaguzi"!

Hizo ni akili za kingumbaru!
nchi gani Africa Mashariki na Kati mtu huyo hateuliwi na rais?

au unafuata mkumbo tu kama nyumbu gentleman?

are you real okey?:pedroP:
 
Natamani nione sura Yako na kujua elimu
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji n.k

Lakini pia,
matapeli hao wa kisiasa nchini wanaendelea kuhadaa wananchi zaidi kwamba hitaji la waTanzania ni vyeo na mamlaka. Kwamba wananchi wanahitaji sana matapeli hao wa kisiasa wapate vyeo, kuliko mahitaji yao muhimu ya kila siku.

Na ndio maana,
agenda kubwa za wanasiasa hao waliofilisika hoja zimekua ni kujadili umri wa makamu mwenyekiti wa CCM bara, na na ubaguzi dhidi ya ukanda anakotoka rais Dr. Samia Suluhu Hassan na jinsia yake, kana kwamba ukiwa kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka upande wa Zanzibari Bara, ni kosa na ni anasa kubwa mno, huku wakijua wazi kabisa kua hakuna mtu anaweza kupata uongozi wa kitaifa Tanzania bila waZanzibari.

Ni vizuri kama wanasiasa kuibua hoja zenye mashiko kwa wakati sahihi na muafaka, kuliko kubwekabweka na kuwahadaa wananchi kwa vimisemo vitakavyowaathiri wenyewe na kuwakosesha fursa na haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura kuchagua viongozi ambao wanawataka kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

Kumbuka,
hata mtua aimbe, alie, acheke, acheze au abwekebweke namna gani, uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania upo pale pale, ni Oct.2025 :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Natamani kujua elimu Yako. Ni kwa sababu elimu Yako haikusaidia kujua kuwa katiba mbovu na tume mbovu inachangia kuweka viongozi wabovu wanaoshindwa kusimamia hayo unayosema ni ya msingi kwa maendeleo ya wananchi
 
Back
Top Bottom