kichwaones
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 399
- 49
habari wjf;
nina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kwenye private company apa dar. jamaa wamemuachisha kazi(unfairtermination of contract) bila sababu ya msingi, jamaa kafanyanao miezi 5 na siku 24 tu.
sababu ya kumuachisha kazi ni baada jamaa kuomba wampe some allowances kutokana na nature ya kazi yenyewe coz jamaa alikuwa anakata salary yake (>200,000/=) kwaajiri ya kazi ya compuni. jamaa arifata utaratibu wote wa kuomba(application letter), kaandika kama mara 3letter at interval of 1month.
sasa jamaa anataka kujuwa sheria inasemaje ili aweze kulipwa mafao yake yote maana ii kampuni inanyanyasa sana wafanyakazi especially wazawa(tz)
jamaa wamemlipa 13days na mwezi mmoja mbele wate bila makato yoyote.
sasa jamaa yanngu anaomba ushauri.