jamaa yako hapo anafikiri ile kodi unayokatwa kwenye mshahara utakuja kuipokea ukistaafu....hajajua kama ndio inayoenda kutumika kuendesha nchi. wananchi wengi kumbe hawana uelewa wa ulipaji kodi hapa tz.
Hivi hizo mashine zinauzwa sh. Ngapi?mwenye kujua pliiz
Kwani hao wanaogomea hizo mashine, hoja yao ni mshahara wa Rais na PM? Ukiwasikia wenyewe (sio kuwasemea), utagundua hawana hoja ya msingi, ila hawataki kufuatiliwa walipe kodiKodi ni jambo la msingi, na sioni tatizo la mashine za risiti za EFD
Ila naona haki kubwa walionayo wafanya biashara kugomea hizi mashine.
Juzi tu hapa tulisikia wote mshahara wa Rais mkubwa kiasi kile lakn haukatwi kodi, Yan kiongozi aoneshi uongozi katika jambo la pekee kama hili.
Tuliskia vilevile kwa waziri mkuu mishahara minono lkn isiyotambuliwa na EFD.
Kwani hao wanaogomea hizo mashine, hoja yao ni mshahara wa Rais na PM? Ukiwasikia wenyewe (sio kuwasemea), utagundua hawana hoja ya msingi, ila hawataki kufuatiliwa walipe kodi