jamaa yako hapo anafikiri ile kodi unayokatwa kwenye mshahara utakuja kuipokea ukistaafu....hajajua kama ndio inayoenda kutumika kuendesha nchi. wananchi wengi kumbe hawana uelewa wa ulipaji kodi hapa tz.
Ishu kukata 18% katika mauzo cyo ktk faida hata kama unauza Kwa hasara. na biashara ni mtaji hunamtaji jua hukuna bias hara