Ni haki kumzuia mwanafunzi kufanya mtihani wa taifa? Sheria zinasemaje?

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Wakuu sheria za elimu zinasemaje kuhusu hili? Hivi ni haki kwa wakuu wa vyuo/shule kuwazuia wanafunzi kufanya mitihani ya taifa inayotolewa na baraza la mitihani la tanzania(necta)? Kisa mtoto hajamaliza ada? Naomba kujuzwa huu utaratibu umehalalishwa na necta au wizara ya elimu?
 

Si sahihi kwa sababu kuna ada ya mtihani huo ambao unalipiwa na mwanafunzi mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…