Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Wakuu sheria za elimu zinasemaje kuhusu hili? Hivi ni haki kwa wakuu wa vyuo/shule kuwazuia wanafunzi kufanya mitihani ya taifa inayotolewa na baraza la mitihani la tanzania(necta)? Kisa mtoto hajamaliza ada? Naomba kujuzwa huu utaratibu umehalalishwa na necta au wizara ya elimu?