Ni haki kununua kazi ilhali una vigezo vyote?

M2 wangu si halali kabisa lakini Loading....
 
Kama ni kwa pesa tu wewe nunua mkuu endapo unahakika itakulipa au umesahau msemo usemao 'toa pesa upate pesa',ila tafadhali ogopa kutoa mwili wako kwa ajili ya kazi.
 
Si haki hata kidogo,ni bora kukaa bila kazi kwa muda mrefu ukiendelea kusubili kazi utakayoipata kwa haki katika nchi yenye dhuruma kubwa kama hii!
 
Kama una vigezo kwanini ununue kazi?
 
Yap ni kweli si haki but ikibidi ndugu mkono mtupu haulambwi,na ukipata cheza na mshahara si kucheza na kazi TAFAKARI CHUKUA HA2a
 
kama kununua kazi ni haki basi jua hiyo kazi you cant make it becouse wanasema ridhiki hupangwa na mwenyezi mungu sasa mbona unataka kununua kazi ? thats my point?
 
hela pia ni kigezo cha kupata kazi, sasa kama hauna hela ni kwanini unasema unavigezo vyote?
 
Kweli sisi ni hamnazo eti tunanunua kazi wakati elimu tumekopa huu si ucameroon? Afu tumeridhika ka mapunga I hate this type of ignorance we need kiongozi atakayetuepusha na ungese aw aina hii
 
Si haki hata kidogo,ni bora kukaa bila kazi kwa muda mrefu ukiendelea kusubili kazi utakayoipata kwa haki katika nchi yenye dhuruma kubwa kama hii!

Ndiyo Tz aliyoitaka Jk na sisi ndo tunatakiwa kuibadilisha
 
"Ukitaka kula sharti uliwe" by JK.

Mtu akikushauri upupu kama huo utamsikiliza? Nadhani haukuwa ushauri mzuri na ndo maana serikali yake inakwenda kama yeye alivyo
 
Ukiwa na vigezo ni haki yako ya msingi kuipata hiyo kazi ila kutokana na mfumo mbofu uliowekwa na viongozi wetu hivi sasa imekuwa sio haki tena ya kupewa bali ya kununua. Jk na timu yako umeiharibu Tz na hukumu yake utalia na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…