Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni haki kununua kazi ilhali una vigezo vyote?
Si haki hata kidogo,ni bora kukaa bila kazi kwa muda mrefu ukiendelea kusubili kazi utakayoipata kwa haki katika nchi yenye dhuruma kubwa kama hii!
"Ukitaka kula sharti uliwe" by JK.
Yap ni kweli si haki but ikibidi ndugu mkono mtupu haulambwi,na ukipata cheza na mshahara si kucheza na kazi TAFAKARI CHUKUA HA2a