herbsman Member Joined Apr 29, 2011 Posts 81 Reaction score 57 Jan 7, 2012 Thread starter #21 kaka ni wapi waliposema kuwa pesa ni kigezo cha kupata ajira? what if ukatoa pesa na kazi usipate? na ulielewa dhamira ya swali langu au ulijibu tu ?
kaka ni wapi waliposema kuwa pesa ni kigezo cha kupata ajira? what if ukatoa pesa na kazi usipate? na ulielewa dhamira ya swali langu au ulijibu tu ?
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Jan 7, 2012 #22 Majibu yote ni sahihi tuu.