kwa upande wangu nafuraia zaidi kama hamna mashart yeyote kuhusu sim. especially kwa wana ndoa, kwani ukitaka kutumia sim ya mwenzio wakati umeishwa hela kuna ubaya gani, nayo mpaka uombe ruhusa masaa kabla. why should it be an issue in a relationship? yani unakuta mtu sim yake hata akiisahau mahali roho inamtoka utafikiri kapoteza mamillion.
Kama kwenye relationship mnapendana na kuaminiana swala la sim haltakuwa big deal. Na uaminifu unajengwa na watu wenyewe? Kama ukinipa sababu za kukutilia mashaka sim yako nitaipekua na nitatumia kila njia niwezavyo kutafuta ukweli. if there is no reason to doubt, hata ukiacha sim yako mwaka mzima sitaigusa...hiyo ndio hali halisi.
alafu, if you want your relationship to work, there should not be secrets, siri ndio zinasababisho matatizo kibao kwenye mausiano. kwani kuna ubaya gani mkeo akiona matani yako na marafiki au work mates, tena sometimes you can even volunteer to share na yeye acheke lol![/QUOTE]
Asante sana mrembo kula tano ^^^^^watu wanavyochakachuana miaka hii halafu eti usiguse simu ya mwenzio! kuangalia kulikoni! kisa unamwamini sana mwenzio! ukigusa simu yake basi unaonyesha humuamini!!! Hao waliokamata jumbe kwenye simu za wenzao wangejuaje yanayoendelea kama si kwa kuzipekua simu zile? nyie mnaoamini endeleeni kuamini lakini msije kushangaa kama itakula kwako na kubaki kulialia nilikuwa namuamini sana yule!